Inategemea na instruction ya mwenye kazi. Wengine hutaka CV peke yake na wengine hutaka CV pamoja na covering letter inayoelezea kwa nini unafikiri unafaa kupewa hiyo kazi. Mara nyingi watu wengi siku hizi hawana intrest na vyeti katika hatua za mwanzo.
Cha msingi hakikisha CV yako inaweza kukuuza vizuri ili uitwe kwenye interview. Ukishafaulu interview ndo unatakiwa kupeleka vyeti tayari kwa kuanza kazi. Huo ndo uzoefu wangu mchche.
Covering letter ndio application letter?
na wengine emails zao ukishaattach scanned vyeti basi inafeli. ndo maana wanapenda utume cv peke yake. siku wakikushortlist basi watakwambia njoo na original certificates zako.
Inategemea na instruction ya mwenye kazi. Wengine hutaka CV peke yake na wengine hutaka CV pamoja na covering letter inayoelezea kwa nini unafikiri unafaa kupewa hiyo kazi. Mara nyingi watu wengi siku hizi hawana intrest na vyeti katika hatua za mwanzo.
Cha msingi hakikisha CV yako inaweza kukuuza vizuri ili uitwe kwenye interview. Ukishafaulu interview ndo unatakiwa kupeleka vyeti tayari kwa kuanza kazi. Huo ndo uzoefu wangu mchche.
sasa ndugu kuki,
kama intruction zinasema attach cv, iyo "Wengine hutaka CV peke yake na wengine hutaka CV pamoja na covering letter" inatoka wapi? me naona it is a fact kwamba wanataka cv tu kwa sababu ni wao ndio wameapproach applicant hivyo huna haja tena kutuma application letter kwa sababu iyo cv peke yake inatosha kukuuza vizuri kuitwa interview.
i suggest atume cv tu
kama wadau wengine walivyoongezea, inawezekana ni mbinu kupunguza applicants.
natumaini nimeongeza kidogo ktk uzoefu wako.
good luck ndugu mtende.
Inategemea na instruction za hiyo company kama wamesema cv weka cv tu. Kama watataka barua watasema uambatanishe na barua kwa post waliyoitoa .Swala liko pale pale jinadi vizuri ili ufanye interview . Kuhusu vyeti cv itakuwa imeongea then baada ya interview ndo vyeti hutakiwa kama udhibitisho wa yale uliyoyaandika.