Job at the Tanzania Wildlife Research Institute (TAWIRI)

Job at the Tanzania Wildlife Research Institute (TAWIRI)

Ahsante mkuu lakini arusha noma maisha yapo juu sana lakini mmm tunashukuru

Hata kama maisha yako juu Arusha, dawa ni kuomba hiyo ya juu kabisa mambo hayatakuwa mabaya. Ukiandika katika zile tunazoita scientific digits za form two inakuwa ni Tsh 2.7x10^6 (Mkuu hii ni six figure vile). Halafu hapa bado makandokando ya field work, house n.k. Ningepata hii ningechangia hata hili bwani la wadogo zangu wilayani kwetu MKINGA.
 
Back
Top Bottom