and 300 JF-Expert Member Joined Jun 27, 2012 Posts 26,398 Reaction score 36,406 Sep 3, 2024 #1 Hiki cheo kimevuma hivi karibuni. Mwenye kujua huwa anajishughulisha na nini huyu POSTAMASTA MKUU atujuze.
Hiki cheo kimevuma hivi karibuni. Mwenye kujua huwa anajishughulisha na nini huyu POSTAMASTA MKUU atujuze.
Valencia_UPV JF-Expert Member Joined Mar 31, 2016 Posts 6,974 Reaction score 8,750 Sep 3, 2024 #2 Michewen said: Hiki cheo kimevuma hivi karibuni. Mwenye kujua huwa anajishughulisha na nini huyu POSTAMASTA MKUU atujuze. Click to expand... Wajibu wake Mkuu ni kusambaza barua na vipeto. Hivi Kuna watu bado wanaandikiana barua ukiacha Halmashauri?
Michewen said: Hiki cheo kimevuma hivi karibuni. Mwenye kujua huwa anajishughulisha na nini huyu POSTAMASTA MKUU atujuze. Click to expand... Wajibu wake Mkuu ni kusambaza barua na vipeto. Hivi Kuna watu bado wanaandikiana barua ukiacha Halmashauri?
Mpekuzi Tanzania JF-Expert Member Joined Mar 11, 2018 Posts 650 Reaction score 1,016 Sep 3, 2024 #3 Michewen said: Hiki cheo kimevuma hivi karibuni. Mwenye kujua huwa anajishughulisha na nini huyu POSTAMASTA MKUU atujuze. Click to expand... Kusafirisha vifurushi (currier services) japo mteja mkubwa ni Serikali. Watu binafsi wanatumia zaidi mabus. Serikali documents na confidential materials
Michewen said: Hiki cheo kimevuma hivi karibuni. Mwenye kujua huwa anajishughulisha na nini huyu POSTAMASTA MKUU atujuze. Click to expand... Kusafirisha vifurushi (currier services) japo mteja mkubwa ni Serikali. Watu binafsi wanatumia zaidi mabus. Serikali documents na confidential materials