Job durations

Job durations

Janice

Member
Joined
Aug 31, 2011
Posts
48
Reaction score
11
mtu unashauriwa kukaa kwenye kazi moja kwa mda gani mpaka hapo utakavyoomba kazi mpya kwa company ingine?
People say u shud stay for at least a year,otherwise CV haitachukuliwa seriously kama una only few months at work!!!so wats the appropriate period to quit a job
 
hiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii wana jf wote mm ni mpya jf. kuhusu hilo ndugu inategemea na phase ya project uliyoperfom, pia kuna project zingine zawezakamilika ndani ya miezi kadhaa tu na ikawa cv kamili.
 
Back
Top Bottom