Bujibuji Simba Nyamaume
JF-Expert Member
- Feb 4, 2009
- 76,107
- 160,001
utanitambua wewe unayeenda kumfanyia interview:angry::target::boxing::laser::doh::rip:
Mke kamuaga mumewe kuwa anaenda kwenye interview.
Mumewe akiwa kazini anapewa jukumu la kwenda kufanya booking ya hoteli kwa ajili ya wageni wa ofisi.
Akiwa hotelini hapo sehemu ya mapokezi, mara anatokea mkewe akiwa na njemba.
Mume alipo uliza kulikoni uko hapa muda huu badala ya kwenye interview kama ulivyo aga? Wife akajibu, interview ya asubuhi ilikuwa oral, huku nimekuja kwenye practical.
Hadi sasa mume yuko icu muhimbili kwa heart attack
dah i nimeipenda............oral siyo???hahhahhaahhhahhaaaaa oral in deed!!!!!
haujambo kipipimoyo
wanawake wengine uzinzi umewatawala hata waolewe hawaachi.
INFIDELITY Organization😡
Huyu sijui atakuwa memba wetu ngoja nianze kumfuatilia mhhhh lakini hapana members wetu huwa hawakamatwi au kuhisiwa kwenye INFI huyu atakuwa ni learner anajifunza kuendesha gari halafu kapelekwa kariakoo kwenye magari mengi ndio kashindwa kabisa hata kuweka gear
yaani nyie wanaume mkeo anakuaga anaenda kwenye interview huulizi interview ya kazi gani offic zipo wapi na more information about that mwisho wa siku mnapata heart attack,na huyo mwanamke nae ni kicheche in nature