Its Pancho
JF-Expert Member
- Sep 21, 2018
- 15,966
- 26,404
Wakuu.
Sote tulilaumu sana kwa kipindi kile kocha moroco kutomuita the big brain defender na hata tukapuuzwa kwa chuki zake za kijinga za kocha huyu, leo sasa mwenyewe kajirudi mwenyewe
Hemed.🗣
Dickson Job ni mchezaji wa timu ya taifa na amerudi kwenye timu ya taifa na hii ni baada ya perfomance yake kuongezeka kuanzia pre-season mpaka sasa anacheza vizuri na tumezingatia performance kuliko kitu chochote.. Performance ikiwa nzuri sio kwa yeye tu kwa mchezaji yeyote anaweza kurudi timu ya taifa ya Tanzania "
©️ Hemed Morocco
Kocha Taifa Stars akizungumza leo.
.
.
Baada ya kutomuita mwaka jana :
"Kwangu nikiwa kama kocha wa Taifa Stars, Dickson Job hawezi kucheza kama beki wa kati kwa sababu ya kimo chake na sijamuita kwa sababu sio mzalendo"
©️ Hemed Morocco.
SWALI.
Hivi lini Job alishuka kiwango ? Kocha kakubali upumbavu wake? Au amesarenda kwa the big brain defender?