Job Marketing Assistant

Mwanajamii

JF-Expert Member
Joined
Mar 5, 2008
Posts
7,063
Reaction score
70
Anatafutwa kijana mwenye shahada ya kwanza ya Marketing.Most preferred Work station Dodoma.

Very attractive Package.

Email ur CV modyhans@hotmail.com

Give it a try you wont regreat.
 
hakuna kulalamika hunankazi sasa apa.kazi kwako
 
Nimeku2mia cv ya mtu wangu
 
Cv tumezipokea kila mmoja anajibiwa
Tarehe 27/04/2012.

Ahsante
 
Poa doyi tumeipata. Nafasi ni moja tu
We shall get back to you.
 
mjomba maslahi yenu vipi, ni kama mia ngapi hivi?
 
Ndo nakuona saizi coz I was a little bit busy, ntakutupia CV yangu kesho mapema ili kujaribu bahati ingawa am pretty sure lazima interview mniite coz nipo safi kwenye hiyo job with full maexperience but twaweza shindwana kwenye package.
 
If you can deliver the target, hatukushindwi. Tuma cv kijana tukupe nchi kagame jr.
 
Unadhani kuna kushindwa hapa kwangu, hiyo kitu kushindwa uwa haipo akilini mwangu, always my focus is on success, CV hiyo hapo kwenye email yako.
 
Guys we appreciate your response and we are closing today. Kindly check your email if you are shortlisted!

Emails and calls will be sent on Monday. We accept applications until 27/4/2012.

Thank you Guys
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…