Job Ndugai akwama kongwa Wanaccm wawabwaga yeye na wagombea wake aondoka ukumbini bila kuaga, awatishia UWT kukosa mikopo

Mbna Kama umemuwekeaa maneno machafu huyu mwamba aliyeona tozo kuwa Ni mzigo

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Ndugai ana tamaa Sana. Ndugai anavuta 80% ya mshahara na masurufu yote anayopata spika wa sasa Ackson Tulia. Sana huyu Ndugai anahangaika na ubunge wa mkewe ili iwe nn?

Tamaa ilimponza mzee fisi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…