Job Ndugai: Ipo haja ya kusimamisha mshahara wa Tundu Lissu kwa sababu hayupo jimboni, Bungeni na hospitalini na sijapewa taarifa ya Daktari

Danga limekuchoropoka unaleta hasira JF! Bwahahahaha.
Pathetic nincompoop.
Danga? Am your senior mbuzi wewe, hivi bado uko hapo karibu Na airport Dodoma au kwanza/geita? Nakujua ujue..shauri ako!
 
Hili suala wala halihitaji kutatuliwa sijui kwa sheria, hata Biblia inasema: Asiyefanya kazi, asile! Mimi sijui wale waliomchagulia akawawakilishe wapo kwenye hali gani, maana ni ajabu kuona mgonjwa anaongea sana, labda ugonjwa umeamia mdomoni.
Wewe mvuta Bangi wananchi wanajua wewe ndiye uliyempiga Risasi ukitarajia afe ukachukue jimbo wananchi wanajua bila Bashite na wewe kumpiga Risasi asingekuwa huko leo hivyo hawana Tatizo wanasubiria mpaka apone visingizio vyenu vya kijinga jinga bakini navyo huko mnakovutia Bangi
 
Ama kweli imenenwa na wahenga kuwa MWISHO WA UBAYA AIBU!

Hivi ndivyo inavyoonekana kitakachokukuta Spika Ndugai baada ya kutangaza Bungeni kuwa una mpango wa kumvua ubunge wake Tundu Lissu!

Tumeanza kuwatambua wale "watu wasiojulikana" kwa matendo yenu dhidi ya mbunge Tundu Lissu!

Hivi Spika Ndugai unajua kuwa ni madaktari pekee wanaomtibu Tundu Lissu ndiyo watakaokupa uhakika kama Tundu Lissu amepona na anastahili kurejea nyumbani??

Hivi Spika Ndugai unewezaje kusema kuwa mbunge Tundu Lissu yupo "fit" kuweza kurejea nyumbani wakati wewe siyo mmoja wa madaktari wake wanaomtibu Mbunge Tundu Lissu??

Hivi Spika wa Bunge unaweza kueleza sababu za kutokwenda muona hata kwa siku moja, uongozi mzima wa Bunge, alipokuwa amelazwa hospitalini Nairobi na Ubelgiji, licha ya kuwa Mbunge Tundu Lissu alikuwa amenusurika kwa kudra ya Mwenyezi Mungu, baada ya kumiminiwa risasi mfululizo zaidi ya 30, kwenye gari yake na "watu wasiojulikana" kwa lengo la kutaka kumwua akitokea kwenye kikao cha Bunge lako??

Hivi Spika Ndugai unaweza kuelezea sababu zako za kumnyima stahiki zake za matibabu, mbunge Tundu Lissu ambayo ni kwa mujibu wa kanuni za Bunge lako??

Umeona njia pekee ya "kumfariji" mgonjwa Tundu Lissu ni kumvua ubunge wake??

Hivi Spika Ndugai unaweza ukatueleza namna unavyowafanyia "unyama" wabunge wa upinzani, hususani wa kutoka Chama kikuu cha upinzani cha Chadema, kwa kuwatoa nje wabunge hao, kwa "maagizo" kutoka juu, hadi upewe sifa na Rais Magufuli kuwa unafanya kazi nzuri sana ya kuwatimua wabunge wa upinzani Bungeni??

Na yeye Rais akisema kuwa ukisjamaliza kazi ya kuwatimua Bungeni, umwachie yeye kazi ya "kudeal" nao huku uraiani wabunge hao "wakorofi" wa upinzani!

Na hiyo amelithibitisha Rais wetu Magufuli kutokana na kuendelea "kuozea" jela kwa wabunge Freeman Mbowe na mwenzake Esther Matiko baada ya mhimili wa Mahakama kupokea "maagizo" toka juu ya wao kuswekwa rumande Segerea!

Hivi kama kweli wewe Spika Ndugai ungekuwa na uchungu wa wapiga kura wa Singida Mashariki, ambao unadai wanakosa mchango wa mbunge wao Tundu Lissu, ungekuwa unawafukuza "kiholela" wabunge wa upinzani Bungeni??

Tunaendelea kukupa moyo Mbunge wetu Tundu Lissu endelea na ziara yako huko Ulaya na Marekani na kuwaweka uchi hao "watu wasiojulikana" ambao kwa sasa wameanza kujitokeza kutokana na kuweweseka kutokana na "mikwara" yao ya kukuhimiza urudi nyumbani haraka!

Baada ya kiwewe ambacho wamekipata kutokana na wewe kuongea na vyombo vya habari vya kimataifa, ambavyo wala hulichafui Taifa la Tanzania, Bali unaueleza ukweli ya namna utawala huu dhalimu wa serikali ya awamu ya tano, kwa namna walivyoku-treat kipindi chote cha zaidi ya mwaka ulipokuwa mahututi na wala hawakuwa na habari nawe!
 
Sasa wamekuja na kituko kingine cha kifala wanadai eti Tundu Lisu analichafua Taifa, yaani wao waliompiga Risasi wakajua atakufa sasa kapona wanaona aibu wameamua kumchonganisha Tundu Lisu na wananchi kwa visingizio visingizio vya kijinga jinga sana, Taifa ni wananchi watanzania ambao hawakuwatuma kwenda kumpiga Risasi, lakini kwenye kutapatapa ndipo wanazusha Uongo
 
Uzuri wake duniani watu wengi wanataka kumfahamu rais wa Tanzania aliyepanga mashambulizi ya kutoka kumuua mbunge wake wa upinzani. Mwanaume aliyepigwa risasi 38 na 16 kati ya hizo kumpata.

Ngungai ana high light matendo ya waandamizi wa serikali.
 
Niccas should pretend they dont even know the guy
 
Uzuri wake duniani watu wengi wanataka kumfahamu rais wa Tanzania aliyepanga mashambulizi ya kutoka kumuua mbunge wake wa upinzani. Mwanaume aliyepigwa risasi 38 na 16 kati ya hizo kumpata.

Ngungai ana high light matendo ya waandamizi wa serikali.
Ni lazima "watu wasiojulikana" tukawajua hivi sasa kutokana na kuweweseka kwao na matendo yao!
 
Kuna jambo kubwa linakkwenda kumokea Ndugai atajuta mpaka.
siku nya kufa.

Lissu is clean anayyetaka kuishi na.kufa kifo chema aachane na Lissu. Lissu ni mtakatifu.

Msiniuliza maswali ya utakatifu wa Lissu.
 
Lissu kwasasa hana cha kupoteza, Mshahara kwake si kitu....

Yeye Ndugai kama Spika anapaswa kujua hali ya Lissu bila hata Lissu kumtaarifu.

Sent using Jamii Forums mobile app
Akili za job zinaongizwa na wivu tu, anana kama Lissu anafaidi kutembea nchi mbali mbali anadhani hizo pesa za madafu wnazomlipa ndzo zinamfikisha huko. Lissu sio level yao.
 
Mara nyingi bundi huleta taarifa ya kifo kwa ndugu wa karibu wa mgonjwa. Lakini pia mara chache huleta taarifa ya kupona kwa mgonjwa ambaye ulikuwa hupendi apone, (ulitaka afe ).
Si unaona jinsi mzee wa bundi anavyoweweseka. Yaani inatia huzuni. Mara, ooh tumemlipia matibabu, mara ohh hayuko jimboni anazurura, mara ohh sikutaka kujibizana na mgonjwa.
Mzee wa bundi, bundi uliyemuona asubuhi, hiyo ni Boomerang Ikirushwa na mrushaji huenda Mira kadhaa kisha hugeuka ikarudi kwa aliyeirusha.
Ondoa mshahara wake tu, ila ujue hakuna Mtu yeyote anayeweza ishi bila kuugua . kumbuka miezi sita huko India, ni sisi hawa hawa tuliokuwa tukikuombea upone urudi salama Nyumbani.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kila siku wanatupandikizia chuki za kila aina, kuanzia za ukabila, ukanda, itikadi za vyama, udini, nk. CCM wanatafuta civil war katika nchi hii. Kupanda chuki ni kazi rahisi sana.
 
Ukiona majibu mepesi ya watu hapa,ndipo unapogundua akili za watu,ambao hawataki kujiongeza katika kutafakari faida na hasa ya mambo flani katika maisha.
Mnashabikia kuwapo kwakwe Nje bila taarifa....... kwani kuwapo kwakwe Nje akizuguka faida yake ni nini?

Kiuhalisia nchi zote anazotembelea zinamatatizo makubwa zaidi ya Tanzania kwa sasa. wana Siasa wa Marekani hawana la kuinyoshea kidole Tanzania, pamoja na social economical problems tulizonazo nchi yetu ina Amani na Imetulia.

Msomi anaposema ‘Serikali ya Magofuli” nakusahau kuwa serikali siyo uongozi ni watu.
“There is no state without people”
 
Kila siku wanatupandikizia chuki za kila aina, kuanzia za ukabila, ukanda, itikadi za vyama, udini, nk. CCM wanatafuta civil war katika nchi hii. Kupanda chuki ni kazi rahisi sana.

Knowledge is power, change always start with you hayo uliyoyataja yako kwenye mind set yako.you can avoid it and reflect to positive change.
 
Kila siku wanatupandikizia chuki za kila aina, kuanzia za ukabila, ukanda, itikadi za vyama, udini, nk. CCM wanatafuta civil war katika nchi hii. Kupanda chuki ni kazi rahisi sana.
That's very true

Hebu wazichungulie nchi zinazotuzunguuka na wafanye utafiti wa mini kilitokea kwa nchi hizo kukosa amani hivi sasa.....

Watagundua kuwa nchi hizo zilianza taratibu mambo haya haya ambayo yanatokea nchini kwetu hivi sasa na ambayo tunayapigia kelele lakini watawala wa nchi hizo wakayapuuza ama walitumia "mabavu" ya nguvu za dola kuyadhibiti na kudhani kuwa wamesha-win
 
rubbish sasa kama haudhurii vikao unataka achekewe na kama anaumwa akae hospital
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…