Job Ndugai: Ipo haja ya kusimamisha mshahara wa Tundu Lissu kwa sababu hayupo jimboni, Bungeni na hospitalini na sijapewa taarifa ya Daktari

Ndugai anapata malipo hapa hapa duniani kabla hajafa.
Kweli Karma inafanya kazi.
Wengine wapo!!!!!
 
Duh ! Hatari sana ! What goes around comes around !! Sijui kwanini watu huwa wanaipuuza hii law of the universe !!!
Ukitokea kwenye umasikini kisha ukapata nafasi ni rahisi kuona watu ni wajinga
 
Mmmh uzi umefufuliwa[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1488]
viumbe wa Mungu ni kama viwavi, kazi ni usiku na mchna, sijui huu ufukunyuzi huwa unafanyajwe bila kujua heading....lakini du, kwa kweli ya Lisu kukosa bungeni yamemrudia subwoofer mwenyewe...
 
viumbe wa Mungu ni kama viwavi, kazi ni usiku na mchna, sijui huu ufukunyuzi huwa unafanyajwe bila kujua heading....lakini du, kwa kweli ya Lisu kukosa bungeni yamemrudia subwoofer mwenyewe...
[emoji1548][emoji1548][emoji1548][emoji7][emoji7]
 
Vp sasa nayeye c hayuko bungeni kwaiyo mshahara wake usitishweee
 
Ni kweli jamaa anachukua malipo bila kufanya kazi..

Akiambiwa arudi kazini anadai anaumwa ila yupo busy kufuata Interview za TV miji Mbali Mbali duniani akialikwa Australia ataenda ila kwenda kufanya kazi bungeni hataki.
Yupo wapi njomba ndugai? Akikaa nchale, akilala nchale na akisimama nchale
 
Ni muda wa kusimamisha mshahara wa huyu dhalimu,muda wa malipo ndio huu
 
Utawala wa ******** na ndugai ilikuwa ni ibilisi katika mfano WA MTU.
 
Sasa ni mwenyekiti wa chama
Subufa ipo uvunguni ina chungulia tuu
 
Yeye hahudhurii bungeni lakini analipwa mishahara na marupurupu yote
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…