Job Ndugai: Ipo haja ya kusimamisha mshahara wa Tundu Lissu kwa sababu hayupo jimboni, Bungeni na hospitalini na sijapewa taarifa ya Daktari

Ni kweli jamaa anachukua malipo bila kufanya kazi..

Akiambiwa arudi kazini anadai anaumwa ila yupo busy kufuata Interview za TV miji Mbali Mbali duniani akialikwa Australia ataenda ila kwenda kufanya kazi bungeni hataki.
Tulia ww subject mwenzangu, jamaa yuko anapigana tuwe citizens

hao unao watetea wanaogopa ukirudiwa na akili hawatakuburuza hivi
 
Ni kweli jamaa anachukua malipo bila kufanya kazi..

Akiambiwa arudi kazini anadai anaumwa ila yupo busy kufuata Interview za TV miji Mbali Mbali duniani akialikwa Australia ataenda ila kwenda kufanya kazi bungeni hataki.
Jamaa amepona kabisa, anazuga tu. Angalia sasa anataka kuanza kupigana na Masilingi studio na bado anajidai ni mgonjwa. Akatiwe mshahara mapema iwezekanavyo.
 
Kama sisi Wananchi hatuchafuki hiyo nchi inachafukaje? Sema ccm inachafuka usijumuishe wananchi wote.

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Apewe taarifa ya daktari kama nani? Kwani yeye ndiye aliyempeleka? Kwani yeye ndiye aliyemlipia gharama za hospitali?
 
Mbona kabla ya kuanza kuhojiwa na vyombo vya habari ulikuwa ukimpa mshahara wake, kipindi hicho bwana Ndugai ulikuwa na taarifa ya hali ya Lissu?

Kwa matendo haya ya Ndugai hivi karibuni nina wasiwasi kwamba naye alikuwemo katika mpango......
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…