Job Ndugai: Ipo siku Tanzania itapigwa mnada, Watu tukishakopa tunapiga makofi kujipongeza. Deni la Taifa ni 70 Trilioni

Kama ana nia nzuri angeacha kupingana na kudidimiza upinzani uliokuwa unasema haya. Vilevile ange support katiba! sasa anaonekana mbumbumbu tu kakosa asali.
 
Aliongea kwa huzuni sana. Labda kama zilikuwa ni chuki lakini ukweli ulisemwa.
 
Kama ana nia nzuri angeacha kupingana na kudidimiza upinzani uliokuwa unasema haya. Vilevile ange support katiba! sasa anaonekana mbumbumbu tu kakosa asali.
Aliyasema haya akiwa spika wa bunge...

Unazungumzia asali gani?
 
Huyu mwamba siri ni kubwa kuliko hayo aliongea sema kiukweli alikuwa smart ila kuna kubwa jinga moja siku litatoka wizarani watalifungia kijiji kwao MILELE.
 
Aliyasema haya akiwa spika wa bunge...

Unazungumzia asali gani?

Mjinga mjinga tu huyu ndiyo aloshiriki kutaka kuwaua wakina Lissu watetezi leo kwanini asiongee sasa nani kamzuia au anamuogopa nani zaidi ya asali yake. Mnafikiri tu huyo. Mtu kweli wakupewa heshima ni mzee Warioba
 
Kwangu mimi huyu bwana ana heshima yake...

Ni wachache sana huwa na ujasiri wa kuongea ukweli akiwa ndani ya mfumo...

Na kimsingi kilichomuondoa kwenye asali ni kuuzungumza ukweli...
 
Kwangu mimi huyu bwana ana heshima yake...

Ni wachache sana huwa na ujasiri wa kuongea ukweli akiwa ndani ya mfumo...

Na kimsingi kilichomuondoa kwenye asali ni kuuzungumza ukweli...

Mla rushwa tu kama ni kweli mbona haongei sasa hivi🤣 hawa jamaa wanafikiri sijui kwanini hamuoni hili
 
Mla rushwa tu kama ni kweli mbona haongei sasa hivi[emoji1787] hawa jamaa wanafikiri sijui kwanini hamuoni hili
Aongee nini tena unataka alishaongea na tukamsikia au unataka kila siku awe anarudia maneno yaleyale, alishatumia haki yake ya kuongea na hata wewe si mtanzania unaweza ukaongea pia
 
Life time thread
 
Acha tupigwe tu,mbona fureshh tu

Ova
 
Kwa kweli nimekosea Sana Mimi mni samehe Sana mimi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…