Job Ndugai: Ipo siku Tanzania itapigwa mnada, Watu tukishakopa tunapiga makofi kujipongeza. Deni la Taifa ni 70 Trilioni

Tumekopa tangu awamu ya pili ya hayati Mzee Mwinyi wakati huo huyo mgogo Ndugai ni mwanafunzi wa sekondari moja ya huko bara Tanzania.

Nani kaipiga mnada Tanzania?. hayati JPM alikuwa anakopa sana tu mbona nchi haikupigwa mnada?.

Atakuwa ni binadamu mwenye akili na busara iwapo atahimiza matumizi mazuri na nidhamu ya kazi ili hicho kinachokopwa kiwe kinazalisha faida na malengo yawe yanatimizwa.

Kuongea kuwa tutapigwa mnada ni kauli yenye kuficha dharau kwa Rais Samia pia ni muendelezo wa maneno ya viti virefu vya Bar, mtu anaiponda serikali wakati akiwanunulia bia wote aliokaa nao.
 
Loliondo tayari, na Bandari ndio hiyo , SGR, mwendokasi n.k maana mikataba yake haieleweki ni Siri ya baadhi na jinsi ya kutoka kwenye hiyo mikataba ni kizungumkuti. Mwishowe hata bwawa la JNHEP nalo litaondoka
Loliondo tayari, Bandari nayo inaanza kuponyoka maana mikataba yake haieleweki ni Siri ya baadhi, itafuata SGR, mwendokasi na JNHEP
 
Loliondo tayari, na Bandari ndio hiyo , SGR, mwendokasi n.k maana mikataba yake haieleweki ni Siri ya baadhi na jinsi ya kutoka kwenye hiyo mikataba ni kizungumkuti. Mwishowe hata bwawa la JNHEP nalo litaondoka
 
Loliondo tayari, na Bandari ndio hiyo , SGR, mwendokasi n.k maana mikataba yake haieleweki ni Siri ya baadhi na jinsi ya kutoka kwenye hiyo mikataba ni kizungumkuti. Mwishowe hata bwawa la JNHEP nalo litaondoka
Ndoto za mkosaji hizi. Negativity ya kitanzania.
 
Ndugai simpendi kwa vile ni katili, undemocratic, dictator and all sorts of evils! Ni kwa vile hakuivana na samia, lakini alibariki ukatili wote wa Magufuli
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…