Job Ndugai: Ipo siku Tanzania itapigwa mnada, Watu tukishakopa tunapiga makofi kujipongeza. Deni la Taifa ni 70 Trilioni

Kwa mujibu wa huyu Ndugai mama kakopa tr. 1.3. Hivi hivi hizi nyingine 68.7 zimekopwa na nani? Kama siyo mama huyu Ndugai wakati huo alikuwa usingizini? Ni swali tu. Pengine wengine wanajua watueleze
 
Kwahiyo anamdharau mama kwenda kukopa ama?
 
Ndungai anawalipa covid 19 fedha za bure na kusababisha deni la Taifa lipae
Deni la taifa haliwez panda kisa mishahara ya wabunge wachache.
Hao ni sehem ndogo sana. Tena wanalipwa kwa kodi si kwa mkopo
 
Dah! Hapo ndiyo mimi nachoka kabisa na viongozi wetu, Mh Spika kasema hivyo kweli! Sheria zote zinatungwa pale kwenye Bunge letu tukufu na yeye ndiye kiongozi wa huo mhimili……. this is it.
Mazuzu hawawezi kuja na solution ya matatizo waliyoyatengeneza wenyewe. Huyo

Ndungai kuna kitu anamtafuta Samia,au anafikiri tumesahau kuwa alitumia b29 kwa matibabu hewa kule Apolo Hospital India?
 
Spika wa Bunge ameonya kitendo cha serikali kuendelea kutegemea mikopo kutoka nje kuendesha nchi kitu ambacho kimefanya deni la taifa kuwa kubwa maradufu "Ipo siku hii nchi itapigwa mnada,kopeni tu".

View attachment 2060343
Nchi hi Ina chuo Cha Kodi ITA alaf tunawaza jinsi ya kukusanya Kodi kweli? Sasa kile chuo kina mantiki gani? Lini tutaanza kutumia hivi vyuo vizuri? Watu wanamaliza , nauliza hivi wizara au TRA wamefanya jitihada gani kuwatumia nyinyi wanafunzi ili kulltafuta vyanzo vipya vya Kodi? Jibu hapana!!! Sasa wizara ya Elimu na serekali.......
 
Atulie kwani jiwe alipokuwa anakopa sialikuwepo
 
Hahaaaa
Huyo PIMBI atulize mshono watu wajenge nchi. Hali hii anayolalamikia ni matunda ya mikono yake kwakua rubber stamp ya serikali.

Ni huyu huyu aliyekua akishabikia mbilikimo mwenzie atawale milele.

Huyu Zuzu ni takataka in Asad voice.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…