abulaaliyah77
JF-Expert Member
- Oct 13, 2021
- 1,750
- 1,158
Naona kaamua kumpa za uso na mamikopo yake ya kovid
wacha waendelee kuvurugana maana com nchi ishawashinda hii miaka 60 hawa majambazi wa ccm wameingiza taifa deni/hasara ya tirion 70.
yaani kila mwaka zaidi ya tirion moja.
Halafu bila aibu yanakuja na ngonjera eti kazi iendelee,
Kazi kuendelea kuingizia nchi hasara kwa madeni ya kipumbavu
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]KWAIYO kachukua nafas ya mboweNdungai anajifanya yeye ndiyo kiongozi wa kambi ya upinzani bungeni.
Kabisa,Hadi wasomi nao wanashangilia hili[emoji848]Nchi inawasomi wa hovyo hii tatizo nchi tunafuata upepo hatuna sera na mipango endelevu rais apunguziwe mamlaka
[emoji1787][emoji1787]nchi ngumu sana hiiKati ya hizo pesa bilion 26 na ushee zilitumika kumtibia India.. BILLION 26 kwa kichwa kimoja na kumfanya kuwa mgonjwa ghali zaidi duniani
Ikipigwa mnada ndio akili zitaturudi kichwani mwetu, kwakuwa tumeshindwa kutekeleza wajibu wetu.Spika wa bunge la jamhuri ya muungano JOB NDUGAI amedai kuwa kulingana na mwenendo wa deni la taifa kufikia trilion 70 ipo siku nchi ya Tanzania itapigwa mnada amenena maneno hayo baada ya kusema kwamba tozo zote zamiamala ya simu zilizopitishwa na bunge zilipitishwa kwa lazima kwani wananchi hawakuridhia kama inavyosema na baadhi ya wanasiasa.
Kwa maneno hayo naona kuna mambo yanaendelea huko Lumumba yapo mambo hayajakaa sawa ukiona spika anaanza kulalamikalalamika! Alianza kuhusiana na serikali kuhamia Dodoma kuwa kwa sasa kazi zote za serikali na makongamano zimerudishwa Dar-es-Salaam.
Mheshimiwa Ndugai popote ulipo nakwambia hivi wewe na viongozi wako mnaifanyia nini hii nchi mbona mnakaa mnalalamika lalamika wakati chama ni cha kwenu na chama chenu ndicho kimeunda serikali.?
=====
UPDATES;
=====
=> Watu wengi wanatulaumu sana, ninyi ndio Wasomi. Hebu fikiria, Juzi mama kaenda kukopa 1.3 Trilioni deni.
=> Na tuna majengo hivi sasa ya Madarasa, ya Vituo vya afya, ambayo yanajengwa kwa tozo. Hivi ipi bora? Sisi Watanzania wa miaka 60 ya Uhuru tuendelee kukopa na Madeni au tubanane banane hapa tujenge wenyewe bila madeni Makubwa yasiyoeleweka? Ni lini tutajenga wenyewe?
=> Tutembeze bakuri ndo heshima? na tukishakopa tunapiga makofi! Sisi wa kukopa kila siku?
=> Tukasema pitisha Tozo, anayetaka asiyetaka, pitisha Tozo. Lazima tuanze kujenga wenyewe. Nani atatufanyia? Yupo wapi huyo Mjomba? Tukapitisha Tozo.
=> Sasa 2025 itaamua. Mkitoa waliopo sawa. Waje watakaokuwa kazi yao kwenda kukopa endepo hiyo ndo namna ya kuendesha Nchi.
=> Hivi sasa deni letu ni 70 Trilioni. Hivi ninyi si Wasomi? Is that healthy? Kuna siku nyi itapigwa mnada hii. Madeni Madeni Madeni
=> Bajeti yetu Trilioni 30, Trilioni 10 kati ya hizo kwa Mwaka tunalipa Madeni.
=> Tumeenda Kukopa 1.3 Trilioni, Tunapiga Makofi. Tunawapa Wazungu Trilioni 10 Mariba Matupu. Wanatufanya Sisi Mazezeta. Hela yako Mwenyewe. Anachukua hela yako, halafu anakupa Kidogo Unashangilia.
=> Toza fanya hivi, tujitegemee, Tusimame wenyewe. Kuna ubaya gani? Hata msomi anatupinga.
View attachment 2060338
Ikipigwa mnada ndio akili zitaturudi kichwani mwetu, kwakuwa tumeshindwa kutekeleza wajibu wetu.
Umeongea point kabisa,Ndugai anapaswa kujua kwamba kama angesimama imara Magufuli asingethubutu kukopa fedha halafu akaendelea kuuhadaa umma kwamba tunatumia fedha zetu za ndani.
Udhaifu wa Ndugai ndiyo umepelekea taifa kufika hapa lilipo. Bunge chini ya Ndugai lilimuacha Magufuli akaongoza nchi kama vile anaongoza familia yake na sasa kila kitu kimeharibika.
Kaamu kujitutumua.Siamini kama Ndugai anaweza kuzungumza haya maneno.
Kwa hiyo sasa ndio anakili Bunge ni Dhaifu.
Mbona alipoambiwa alighadhibika Sana.
Mbona wakati wa Magu alikuwa hazingumzi hivi.
Si alikuwa anaimba Bungeni kuwa atake asitake atawale milele.
Bunge lilikuwa wapi hadi lisiishauri serikali.
Kwanini asichukue hatua za Kibunge wakati huu.
Maswali ni mengi sana.
Wakati hilo deni linapaa bunge lilikuwa wapi!
Jamaa alipoitwa na Asad dhaifu alikasirika Sana[emoji1787]Next time tunahitaji Magufuli aingie bungeni sasa ili kuondoa upuuzi! Naimani Bunge likiwa na mtu strong hata raisi kufanya upuuzi ni ngumu
Alitamani ampasue 😅 sema kimbunga Jobo akiwa anaongea unaweza sema anaongea kitu serious sana kumbe samtaim anaropoka upupu ila sura yake iko serious sana
Kaamu kujitutumua.
Na kwa hili naamini hayuko peke ake, atakua na wafuasi wa kutosha
Sent using Jamii Forums mobile app
Akili zitakuja wakati huo, kama tuta adopt maisha ya kuishi majini au porini, uzuri binadamu ni flexible.Atakayenunua akisema hataki watu itakuwaje?
Kaguswa polepole, ndugai anaumia sanamayatima kwa sasa wanapitia wakati mgum kupita kiasi, hawajataka kukubali matokeo.
Wanasiasa kweli waweza kuwa wauaji kabisaSpika wa bunge la jamhuri ya muungano JOB NDUGAI amedai kuwa kulingana na mwenendo wa deni la taifa kufikia trilion 70 ipo siku nchi ya Tanzania itapigwa mnada amenena maneno hayo baada ya kusema kwamba tozo zote zamiamala ya simu zilizopitishwa na bunge zilipitishwa kwa lazima kwani wananchi hawakuridhia kama inavyosema na baadhi ya wanasiasa.
Kwa maneno hayo naona kuna mambo yanaendelea huko Lumumba yapo mambo hayajakaa sawa ukiona spika anaanza kulalamikalalamika! Alianza kuhusiana na serikali kuhamia Dodoma kuwa kwa sasa kazi zote za serikali na makongamano zimerudishwa Dar-es-Salaam.
Mheshimiwa Ndugai popote ulipo nakwambia hivi wewe na viongozi wako mnaifanyia nini hii nchi mbona mnakaa mnalalamika lalamika wakati chama ni cha kwenu na chama chenu ndicho kimeunda serikali.?
=====
UPDATES;
=====
=> Watu wengi wanatulaumu sana, ninyi ndio Wasomi. Hebu fikiria, Juzi mama kaenda kukopa 1.3 Trilioni deni.
=> Na tuna majengo hivi sasa ya Madarasa, ya Vituo vya afya, ambayo yanajengwa kwa tozo. Hivi ipi bora? Sisi Watanzania wa miaka 60 ya Uhuru tuendelee kukopa na Madeni au tubanane banane hapa tujenge wenyewe bila madeni Makubwa yasiyoeleweka? Ni lini tutajenga wenyewe?
=> Tutembeze bakuri ndo heshima? na tukishakopa tunapiga makofi! Sisi wa kukopa kila siku?
=> Tukasema pitisha Tozo, anayetaka asiyetaka, pitisha Tozo. Lazima tuanze kujenga wenyewe. Nani atatufanyia? Yupo wapi huyo Mjomba? Tukapitisha Tozo.
=> Sasa 2025 itaamua. Mkitoa waliopo sawa. Waje watakaokuwa kazi yao kwenda kukopa endepo hiyo ndo namna ya kuendesha Nchi.
=> Hivi sasa deni letu ni 70 Trilioni. Hivi ninyi si Wasomi? Is that healthy? Kuna siku nyi itapigwa mnada hii. Madeni Madeni Madeni
=> Bajeti yetu Trilioni 30, Trilioni 10 kati ya hizo kwa Mwaka tunalipa Madeni.
=> Tumeenda Kukopa 1.3 Trilioni, Tunapiga Makofi. Tunawapa Wazungu Trilioni 10 Mariba Matupu. Wanatufanya Sisi Mazezeta. Hela yako Mwenyewe. Anachukua hela yako, halafu anakupa Kidogo Unashangilia.
=> Toza fanya hivi, tujitegemee, Tusimame wenyewe. Kuna ubaya gani? Hata msomi anatupinga.
View attachment 2060338
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]aisee hi nchi inaenda Kasi sanaNdugai ndiye kambi rasmi ya upinzani bungeni sasa hivi.
Qmmke siasa hizi [emoji23][emoji23][emoji23]
Akili zitakuja wakati huo, kama tuta adopt maisha ya kuishi majini au porini, uzuri binadamu no flexible.