Job Ndugai: Jamii imewaacha watoto wa kiume nyuma

Aiseee

Ni kweli kabisa ukiwasimamisha Lucas Mwashambwa na Halima Mdee utalielewa hili vizuri
Hao wanagomnea viti maalum mnyukano mkali, kina mama wameshashtuka sasa kuingiliwa kwenye qualuficatiins zao.

Kina Lucas wanajiita machawa lakini nyuma ya pazia wanaeleweka.
 
Spika wetu vipi? Mambo ya jimboni kwako je? Hatukusikii sikii kabisa, au na wewe upo na sisi kwenye no reforms ila kimya kimya wasishituke tena.

Pole sana mzee wa Nazaleti - siku zinakwenda kwa kasi mno yaani kutoka kutoa amri CAG aletwe Bungeni kwako kwa pingu hadi kuwa raia mtiifu namna hii.

Amani iwe nawe. Pamoja.
 
Atakuwà alilewa kama nape akaropoka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…