Upo uwezekano wa vizazi vitakavyokuja huko mbeleni kumuona job ndugai shujaa aliyekataliwa na jamii nzima.
Hebu fikiria miaka kadhaa ijayo wajukuu wetu watakuta hali gani ya madeni na maendeleo kiasi gani?
Ikiwa watakuta nchi yetu ina madeni makubwa sana na huku maendeleo hakuna watarudi kwenye historia na kusoma kuwa miaka ya 2000 kulikuwa na spika wa bunge ambaye aliishauri serikali iache kukopa.
Kwa ushauri wake huo raisi alikasirika na jamii ikamshambulia kutoka kila kona na spika huyo aliamua kujiuzuru.
Wajukuu zetu wakikuta hayo wanaweza kumuona Job Ndugai shujaa na jamii nzima tunaomzodoa job leo tuonekane wapumbavu.
Let us work very hard to prove Job Ndugai wrong over generations.