Analogia Malenga
JF-Expert Member
- Feb 24, 2012
- 5,108
- 10,191
Amechanganyikiwa.Sasa huyo Ndugai anakuwa kama haijui kazi ya Bunge?
Bunge kazi yake kubwa ni kuikosoa serikali kwa yale mapendekezo watakayokuwa wameyaleta.
Hivi yeye Ndugai anataka Bunge letu liwe la "rubber stamp" pekee?
Kwani Ndugai naye siku hizi anaijua Katiba ya Tanzania? Basi tumeendelea sana
Spika wa Bunge, Job Ndugai amewaambia Wabunge kuwa kwa mujibu wa Ibara ya 90(2)(b) ya Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Rais wa Tanzania ana uwezo wa kuvunja Bunge endapo litakuwa limekataa kupitisha bajeti ya serikali iliyopendekezwa.
Ameyasema hayo leo, Juni 22 ambayo ni siku ya kuhitimisha bunge la Bajeti. Ambapo kwa mujibu wa Kanuni za Bunge, Kanuni 229 wabunge wanapiga kura za wazi kwenye kupitisha bajeti hiyo.
Kwa mwaka wa fedha 2021/22 Serikali imependekeza bajeti ya Tsh. Trilioni 36.26
KATIBA ndugu yangu sio amechanganyikiwaAmechanganyikiwa.
Muda huu angekuwa analaumiwa jiwe hapa.
Hivi ni lini ulishaona kama vile anajua kazi yake vizuri.....!!?Sasa huyo Ndugai anakuwa kama haijui kazi ya Bunge?
Bunge kazi yake kubwa ni kuikosoa serikali kwa yale mapendekezo watakayokuwa wameyaleta.
Hivi yeye Ndugai anataka Bunge letu liwe la "rubber stamp" pekee?