Job Ndugai: Wananchi wawachague wakuu wa mikoa

msemakweli

JF-Expert Member
Joined
Feb 20, 2014
Posts
1,627
Reaction score
880
Nimpongeze sana mheshimiwa Job Ndugai kwa kupropose vitu viwili muhimu ambavyo vimenifurahisha sana
Kwanza, waziri mkuu aongezewe madaraka
Pili, wananchi wapewe madaraka ya kuchagua wakuu wa mikoa
From the begining, maoni yangu yalikuwa ni waziri mkuu apewe kabisa cheo cha kiongozi wa serikali halafu Rais awe tu kiongozi wa nchi na amiri jeshi mkuu. Hiyo husaidia sana kwani Rais anakuwa non-partisan above-all entity anayeweza kusimamia wananchi na serikali bila bias kwa upande wowote.
Hongera sana mzee!
 
Hii ilikuwa 2014. Je, hadi sasa Ndugai bado anaamini hivyo?
 
Eee eeeh! Na hapo tutakuwa tumeongeza wigo wa KUUNGA MKONO!
 
so true


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…