Ebu wana jf nipeni ushauri kwan nimeamua kuresign kaz niliyonayo kwani nalipwa laki 2 tu then mafanya kazi more than 14hrs without overtime ni kampuni ya wahondi then ukizingatia mi ni graduate wa computer science.ebu nipen ushaur jamani hawa wahindi siyo watu wazuri labisa
Computer science/technology and related fields ni moja ya sekta ambazo zinasakwa kwenye job market. Umeishapata alternative job? Unazo skills za kuuza kwa waajiri? Kama unazo ni jitihada yako tu utapata kazi. Kama huna/hujiamini ridhika na hizo laki 2 mpaka utakapokuwa na utaalamu wa kutosha. Kuwa graduate siyo issue kama huna skills.
[h=6]uliomba kazi ukapata kazi, usione kazi kuifanya kazi, ukiona kazi kuifanya kazi, basi acha kazi uone kazi kuipata kazi[/h]Ebu wana jf nipeni ushauri kwan nimeamua kuresign kaz niliyonayo kwani nalipwa laki 2 tu then mafanya kazi more than 14hrs without overtime ni kampuni ya wahondi then ukizingatia mi ni graduate wa computer science.ebu nipen ushaur jamani hawa wahindi siyo watu wazuri labisa
[h=6]uliomba kazi ukapata kazi, usione kazi kuifanya kazi, ukiona kazi kuifanya kazi, basi acha kazi uone kazi kuipata kazi[/h]

Du we ni noma,we ni mtunga mashairi ning
mambo ya mkoloni hayoMarhabaa,
ushaur murua kwangu