Habari za Leo wataalamu na wabobezi wa fani mbalimbali.
Niende Moja kwa Moja kwenye Maada. Naomba mwenye waraka/Mwongozo wa muundo wa kiutumishi (job schemes) unaosimamiwa na wizara husika anisaidie maana nimeutafuta kwenye tovuti ya utumishi nimeukosa na kwenye searching engine zingine haupo,Nina shida nao sana.