Napatikana Dar es salaam kwa sasa.
Kama uko fit (una sifa) peleka CV yako pale Radar wako pale Baclays house au Propect Africa wako pale Hugo House kinondoni makaburini! Watakusaidia tu!
aah ndio sababu kazi bado mgogoro......Komaa tu utapata, Na Umuombe Sana Mungu. Wenzako tuna mwaka nyumbani sasa na degree zetu hamna cha kazi wala nini. Ila bado tuna matumaini ya kupata kazi kwa sababu Mungu yu pamoja nasi. Husichoke ndugu yangu mpenzi
Radar Backlays House utamkuta kaka mmoja anaitwa STEVE na dada anaitwa Catherine ni wakarimu sana and very Friendly. Kawaone they can help U in advance.
Mungu akutangulie.
Hello!..
I am a Tanzanian girl looking for a job in any company or organization..
Please help me to find one based in this themes; customer services, Public relations officer, information officer, teller, Radio presenter or any position which will be suitable for me. I have a degree ni Mass communication.
Mkuu unamfundisha Woga eeeeeh.Tenga pesa kiasi cha 100,000/= hivi uzitumie kuandika maombi ya kazi sehemu zote ambayo unahisi ujuzi wako utatumika. Tumia Telephone Directory kupata hayo makampuni na mashirika.