Ni habari njema mkubwa unaonyesha moyo wa kizalendo! Kuna watu niliwahi kuwajulisha nafasi za kazi gazetini na walipozama library walikuta wakubwa wametambaa na kurasa za matangazo ya kazi yaani wamezichana. Nadhani wafupi wa fikra ila kwa njia hii ya website sidhani kama wanaweza kuzihujumu.