HERY HERNHO
Senior Member
- Mar 4, 2022
- 110
- 458
Biden amesema Mataifa ya Magharibi hayana njama ya kuishambulia Urusi kama Putin alivyosema leo," Biden alisema. "Mamilioni ya raia wa Urusi wanataka tu kuishi kwa amani na majirani zao sio adui."
Pia Biden amesema Nitarudia usiku wa leo niliyosema mwaka jana mahali pale pale. Dikteta aliye na nia ya kujenga upya himaya hataweza kamwe kupunguza upendo wa watu wa uhuru. Ukatili kamwe hautapunguza mapenzi ya mtu huru. Na Ukraine haitakuwa ushindi kwa Urusi kamwe."
Kwa nini Biden yuko Poland?
Poland inatafuta uwepo mkubwa zaidi wa wanajeshi wa Marekani kwenye eneo lake.
Siku ya Jumapili, Waziri Mkuu wa Poland Mateusz Morawiecki alisema, "Tuko katika mchakato wa majadiliano na utawala wa Rais Biden kuhusu kufanya uwepo wao [wa askari] kuwa wa kudumu zaidi
Juni mwaka jana, Biden alisema Marekani itaanzisha makao makuu mapya ya jeshi nchini Poland kujibu vitisho vya Urusi.
speech ya biden aliyoongea huko poland muda huu ipo katika comment