Joe Biden: Marekani haiwezi kutishwa na Putin

Biden anasema wamejiandaa na washirika wake wa Nato,hapo inamaanisha marekan pekee hawezi kupambana na Urusi[emoji38][emoji38]
 
Babu Biden ni tapeli, kamponza Zelensky wa watu yeye anabwabwaja tu... apeleke jeshi pale Ukraine, mbona Libya aliweka no fly zone, wanashindwa nini pale Ukraine?
 
"Putin alinukuliwa akisema kuwa wakazi wa maeneo ya Donetsk, Luhansk, Kherson na Zaporizhzhia wameichagua Urusi licha ya Serikali ya Ukraine kupinga maamuzi hayo."

YUPO SAHIHI KAMA JECHA KIPINDI KILE. TZ TUNAIPENDA CCM NDO MAANA TUMETULIA.
Hapo mwishoni naona unataka kuamsha mjadala ndani ya mjadala [emoji3]
 
Reactions: Tsh
Maneno mengi sana....watwangane tu....haya mambo ya kutishiana na kupigana mikwara sio issue kabisa....Kelele nyingi sana..Putin yuko Ukraine mule..wamtoe full stop...wakishindwa watulie...
 
Babu Biden ni tapeli, kamponza Zelensky wa watu yeye anabwabwaja tu... apeleke jeshi pale Ukraine, mbona Libya aliweka no fly zone, wanashindwa nini pale Ukraine?
Biden hana ubavu huo ingekuwa nchi zingine zamani wameisha weka no fly zone
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…