Nunua Toka UK
JF-Expert Member
- Apr 17, 2023
- 265
- 540
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa hiyo na mimi nioe mtoto wa miaka 9?Mtume alikuwa hapendelei hata kwa wanawe. Kuna hadithi inathibitisha hivyo
Hadithi yenyewe inasema:
"Wallahi, lau Fatimah binti Muhammad angeliiba, ningemkata mkono wake."
(Imepokelewa na Bukhari na Muslim)
Muktadha wa Hadithi
Hadithi hii ilisemwa wakati wa tukio ambapo mwanamke wa heshima kutoka kabila la Quraysh alishikwa kwa kosa la wizi, na baadhi ya watu walitaka kuingilia ili apate msamaha kwa sababu ya nafasi yake kijamii. Mtume Muhammad (S.A.W) alikataa kupendelea na alisisitiza kwamba sheria ni sawa kwa kila mtu, bila kujali hadhi au uhusiano wake.
Funzo kutoka kwa Hadithi
1. Uadilifu kwa Wote:
Sheria za Kiislamu hazipaswi kuwa na upendeleo; zinafaa kutumika kwa usawa kwa watu wote.
2. Uongozi wa Kiadilifu:
Mtume alionyesha mfano wa uadilifu wa kweli, akiweka misingi kwa viongozi na wafuasi wake kwamba haki inapaswa kutekelezwa kwa usawa.
3. Kujiepusha na Upendeleo wa Familia:
Hata mtu wa karibu zaidi, kama mwanawe, asingependelewa katika utekelezaji wa sheria.
Nabii Nuh (Noah, A.S)Kwa hiyo na mimi nioe mtoto wa miaka 9?
Sidhani kama ataweza kuelewa ulichomuuliza.Kwa hiyo na mimi nioe mtoto wa miaka 9?
Kwa wanaojua, huyu mtoto wa Biden ana mashitaka/makosa yapiBiden alijua asipofanya hivyo, na ushaidi wote wa kimazingira na evidence uko wazi na alikiri kosa
Trump lazima angemtia nyavu
Kutakatisha, fedha, dawa za kulevya, kumiliki silaha kinyume na sheriaKwa wanaojua, huyu mtoto wa Biden ana mashitaka/makosa yapi