Mkalukungone Mwamba
JF-Expert Member
- Aug 29, 2022
- 3,141
- 7,205
Ninwakati wakeTanzania One (TO), mwandishi wa vitabu na motivation speaker Nguli duniani Joel Nanauka ameibuka mshindi katika kura za maoni CCM jimbo la Mtwara Mjini
View attachment 3431314
Huko ajipange kutotumia akili zake asije kusema hakuambiwaTanzania One (TO), mwandishi wa vitabu na motivation speaker Nguli duniani Joel Nanauka ameibuka mshindi katika kura za maoni CCM jimbo la Mtwara Mjini
Soma Pia: Joel Nanauka kumrithi Kinana CCM
View attachment 3431314
Uongoze TAMISEMI kama siyo chawa Rais? 60% ya watumishi wa umma wanaohitaji kukontroliwa kama roboti wako chini ya TAMISEMI.Jamaa ni master sana huyu anafaa Sana kuongoza wizara ya tamisemi
TO wa mwaka gani...! na matokeo yapi advance au ordinary tuweke kumbukumbu sawa kwanzaTanzania One (TO), mwandishi wa vitabu na motivation speaker Nguli duniani Joel Nanauka ameibuka mshindi katika kura za maoni CCM jimbo la Mtwara Mjini
Soma Pia: Joel Nanauka kumrithi Kinana CCM
View attachment 3431314
2002 OLTO wa mwaka gani...! na matokeo yapi advance au ordinary tuweke kumbukumbu sawa kwanza
CCM ikikutaka hata kama wananchi hawakuihitaji utakuwa Mbunge wao kwa miaka hata 30.Hao ndo Wamakonde, wazee wa Nongwaaaa. Walishaapa hawawezi mpa ubunge mtu miaka 10 mfululizo. Ni package ya 5 kwa 5. Pole sana Mh Mbunge mstaafu MTENGA.