Jogging clubs

maila majani

Senior Member
Joined
Nov 24, 2014
Posts
110
Reaction score
11
Msaada tafadhali kwa mwenye ufahamu na bihashara ya jogging club, nataka kufungua bihashara hii, muziki mkubwa na ukumbi tayari ninao.
 
Gym fitness centre yenye vifaa au?
Maana joging nijuavyo ni zoezi la kukimbia. Lazima uwe specific unataka kufundisha nini eg karate, gym, kung fu, etc

Mawazo yangu
 
Ni nzuri. Cost monthly ni kulipia umeme na maji na pango ya ofisi, kodi na mtu atakayesimamia.

Ishu kubwa ni eneo liwe town tu na ujitangaze kama mkoa uliopo una radio tangaza kiaina na tumia print tangazo bandika public places mbakimbali itakulipa.

Miki nipo mbeya kuna sehemu soweto huwa napasha. Kwasiku 1500.

Tafuta anayefanya hiyo biashara halafu jifunze mambo ya bei na changamoto if any
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…