BlackPanther
JF-Expert Member
- Nov 25, 2015
- 9,185
- 8,715
Ndio hivyo tena!!!
Fainal Baca v/s Totenham
Messi hawezi kuwa sawa na Ronaldo hata iweje nimeangalia attempt ya mwisho ambayo ousmane dembele anakosa mess kuonyesha anaujua mpira anaamua kumpasia Dembele kwa ustadi mkubwa
Lakini angekuwa Ronaldo angepiga mshuti pale
Mkuu mm nafuatiliaga Sana tmu za Spain uefa yaani hzo timu kwenye ligue yao n wabovu Sana lakn uefa subutu yaan utadhan wanakauchawi flani hivi nakuhakikishia real Madrid kwa Sasa mbovu Sana lakn ingefika hatua ya nusu fainal unaweza kujiuliza hii tmu ilikuwaga wapi yaan wanacheza Kama syo wale wabovu. Spain kwenye uefa n hatar Sana na timu za England kwenye uefa labwa zikitane zenyewe kwa zenyewe ndo zitoane lakn iitoe tmu ya Spain uefa haiwezekan.Wewe unaujua mpira vyema na ulisema ukweli kabisaaa
Hyo iko wazi mkuu na hapo siweki neno maana barca n wazur na ajax n wazur hapo yeyote anakufa fainal .Final ni Barca na Ajax
Zikutane zenyewe Kwa zenyewe maandazi kwa maandaziMkuu mm nafuatiliaga Sana tmu za Spain uefa yaani hzo timu kwenye ligue yao n wabovu Sana lakn uefa subutu yaan utadhan wanakauchawi flani hivi nakuhakikishia real Madrid kwa Sasa mbovu Sana lakn ingefika hatua ya nusu fainal unaweza kujiuliza hii tmu ilikuwaga wapi yaan wanacheza Kama syo wale wabovu. Spain kwenye uefa n hatar Sana na timu za England kwenye uefa labwa zikitane zenyewe kwa zenyewe ndo zitoane lakn iitoe tmu ya Spain uefa haiwezekan.
Yaani toterham kang'ang'ania hukumu isiyo muhusu anaenda kufa Tena hko Netherlands ,MAN CITY ingepita ungeona mziki wake maana man city wana formation moja hatari yaan wanashambulia hujapata kuona na mbinu pekee ya kujilinda syo kupaki Basi hapana Bali n kushambulia nakuhakikishia MAN CITY ISINGEPIGWA 3-0 hyo Nina uhakika nayo 100%Zikutane zenyewe Kwa zenyewe maandazi kwa maandazi
Tatizo kubwa hii mechì ya Barca vs Liver imevamiwa na mashabiki wa Real madrid + CR7 hawa kwao hii mchi imekuwa kama kichaka wanachokifanya ni kui overrate Liveřpool + VVD wakati hamna lolote
Kinachotokea mliewapa dhämana wanawaaibishaa
King Mèssi anachukua kilä kitu msimu huu
Mkuu nilishakwambia mapema kūwa Messi msimu huu anataka kila kitu kiende Barca kwahyo kila atakae mpitia mbele kutaka kumzuia atafanywa vibayaUkitaja ukatili wa kijinsia huwezi acha huu king anavyowafanya wenzie 😀😀
Kweli kabisa Mkuu,tumeona.Chukua dawa za kupunguza maumivu ili muda wa mechi uwe sawa. Tunampiga barca nje ndani.
Umeshinda bettBarca ana nyooshwa leo
Dah kafa kweliLiva alimtia chuma 3 Bayern tena kwake naamin leo Barca anakufa
Kweli kawika saa6 kasoro usikuJogoo atawika Leo nou Camp
Wewe jamaa nikiwachapa leo itabidi uninunulie K vant kubwa moja maana naona unajiaminisha sana.
Mlisema anakufa Nou Camp sasa hivi mshageuza eti anfield [emoji23] [emoji23] mumfunge barc 4-0 kwa kikosi kipi?? Mkubali tu liver msimu huu kubeba kikombe chochote labda waibeHawa Mafia
Hawachomoki Anfield
Hongera mkuu kwa utabiri mzuriNinachokiona Liver lazima apate goal(s) ugenini na akifungwa tofauti haitozidi goal moja.
Barca anapokutana na team ambayo hukabia juu hupata shida sana kwakuwa wao wanajenga mashambulizi kuanzia kwa goalkeeper. Kwangu mie Barca atatolewa
Hahahahaha ni maoni yangu tu mkuu. Jana Liver pamoja na kocha kuvuruga kikosi lakini pia hawakuwa na bahati.Hongera mkuu kwa utabiri mzuri
Barcelona vs ajaxNdio hivyo tena!!!
Fainal Baca v/s Totenham