Jogoo anachinjwa leo asubuhi tu pale Nou Camp

Nilikwambia kwamba mpira haujui, ila una mahaba, recod huwa zinawekwa ili zivunjwe.....hakuna timu bora duniani ya mda wote kwa sababu wote ni wanadam , leo uko juu kesho unashushwa, maisha huwa yanaenda hvyo....

Tunaojua mpira tulifahamu mapema makosa ya baca, haina defence imara dhidi ya kasi ya liverpool, hata huko camp nou, liver ilikosa magoli mawili ya wazi kabisa, na ikaongoza ballposition dhidi ya baca

Sisemei kwamba Liver itachukua UCPl ila ina nafas kubwa ya kufanya hvyo...
 
ball possession
 
BARCELONA NA PSG ME NAONA KM WALE WALE TUUUUUU MTU UNAONGOZAJE 3 ALAFU UNAFUNGWA 4 HII INA MAANA GANI KOCHA HANA MBINU ZA KIMCHEZO YA KUDEFEND MATOKEO YALE WALIOPATA HOME ILI WAENDE NEXT ATUA....SASA NASEMAJE BARCELONA NI PSG NA PSG NI BARCELONA KM HUTAKI ZIMA DATA.
 

Origi Origi
 
Vipi sasa bado una msemo wako huo? Hakuna wa kumzuia? Au umepoa?
 
Upoo je unazungumziaje soka la jana??
 
Nimepitia comments zote kwenye hii thread, siwezi kusema Liverpool tumemtoa Barca kwa sababu ya uwezo wetu.

Isipokuwa kuna vitu vinne vimetokea:-
  1. Barca ali-relax sana baada ya kuwa na magoli 3 first leg, akaamini kwamba haiwezekani afungwe 4. Hii ilimtokea hata kwa As Roma mwaka jana, alitangulia 4 - 1 kwake, akapigwa 3 bila ugenini.
  2. Liverpool waliingia bila Salah wala Firmino, ambao ni regulars na key players, replacement zao zilifanya kitu tunaita "next man up", na hii pia ni moja ya sababu za Barca kurelax kwamba hatari hazipo.
  3. Liverpool aliingia akiwa hana pressure, alishajua game ni ngumu na ni kama ameshapoteza, hii iliwasaidia sana psychologically, maana unacheza ukiwa huna mzigo wa deni.
  4. Anfield ni 12th player, Anfield ni uwanja wa machinjio linapokuja swala UEFA.
Achekaye mwisho ndiye mshindi, poleni wale wanazi mlioidhihaki Liverpool, fainali hiyoooo!

Messi atabaki kutuangalia kwenye TV tukiwa Madrid.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…