Jogoo anachinjwa leo asubuhi tu pale Nou Camp

Hii game ina uhaba mkubwa wa magoli. Hii mido aliyopanga Klopp sijui ni vipi Barca wataimudu. Counter 1 tu liverpool wanamaliza mchezo.

Cc #liverpool#
Mkuu mbona wote wamepanga 4-3-3
 
Ahsante.
 
Nilibeba Limao langu mapema kwa ajili ya Supu mida hii.Mana kuna mtu alisema atakuja na Jogoo na kijiko kidogo cha gesi Barca akishinda basi anachinjwa Jogoo..Namalizia Supu...Kuna mtu kanisaidia PiliPili..ndio Ushabiki huo.

Asubuhi nitaamkia na Jogoo lingine kutoka kwa wabishi wengine walioanza kuangalia mpira kwa mihemko.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…