Jogoo hataki kuacha kuwika.

Tonge

JF-Expert Member
Joined
May 7, 2010
Posts
695
Reaction score
12
JAMANI MI SIJAOA NA DEMU WANGU YUKO MBALI SANA, NA SASA NI SAA 9:20 NAFUNGA OFISI, KINACHONIUMA LEO NI JOGOO KAWIKA KUANZIA ASUBUHI MPAKA SASA HIVI, KILA NIKIMUAMBIA ATULIE HATAKI, NIMEJIFUNGIA OFISINI TU LEO NACHAT KWA JF MAANA NIKITOKA NJE TU MITAA YA KATI FULL KUVIMBA, SIJANYWA DAWA WALA NINI.JE NIKIPIGA PUCHU JOGOO ATATULIA? BAHATI MBAYA SIJAWAHI KUPIGA PUCHU. NIFANYEJE WAJAMENI NISAIDIENI NAUMIA JAMANI.:confused2:
 

Inawezekana ukawa na Priapism na hii inaweza kusababisha madhara makubwa zaidi kama impotence hapo baadae. Nakushauri ukamwone tabibu haraka iwezekanavyo. Hii hali si mchezo bana. Ni medical emergency inayohitaji tiba haraka sana. Usiichekelee na kujiona wewe ni dume la mbegu.
 
kama huko Dar jioni pitia mitaa ya Ambiance Corner Bar (kama kipato chako ni cha kati) au mitaa ya Garden Bistro (kama ni matawi ya juu) hapo unaweza kupunguza machungu kwa bei nafuu sana achana na kujichua hizo ni za madenti na wafungwa jela
 
Shetwani huyo anakuandama! Mkemee Mkuu
 
Mkuu NN u just made my day..Nimecheka si kdogo. Ujue watu wengi hapo tungejisifu kuwa dude langu ni balaa hebu ona lilivyochachamaa. Thanx kwa angalizo.
 
Pole sana mkuu. Hali ya kawaida hiyo,we kuwa busy na Jf tu cheza na majukwaa mbalimbali siasa,mahusiano,michezo just kuvutavuta muda baadae hali itatulia.
 


Acha mawazo ya uzinzi. Unasema hujaoa na "demu" wako yuko mbali. kwa hiyo angekuwa karibu ungezini siyo?? Acha uzinzi hautakusaidia. inabidi uzishinde tamaa kabla ya kuoa na hata utakapooa utaweza kushinda tamaa. Assume ukioa mkeo akawa mgonjwa na jogooo akawika utaruka geti?? Acha kujiendekeza na ngono. Kama huwezi nenda pale Tanganyika parkers ufufuo na uzima wamtoe huyo shetani wa ngono kabla hujaangamia
 
Pole. Kunywa maji lita 3 yaliyochanganywa na ndimu kila siku kwa muda wa siku tatu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…