Joh makin Vs Fid q

Tofauti ipo kubwa sana, kwanza ktk misingi ya Hip Hop Joh ametoka ktk U-Mc na kuwa Rapa kwa sababu ametambua kundi la wafuasi au mashabiki wake wanataka au wanapenda nn? jaribu kumsikiliza Joh yule aliyekuwa anajiita RAPTURE alikuwa kasimama ktk misingi ya SMILLING na METAPHO leo Joh ameamua kubadilika sana kwani naamini hata yy binafsi akijisikiliza hajikubali kilichobaki anachofanya Joh ni style tu. Kuhusu Fid Q still amebaki ktk kuisimamia nguzo ya U-Mc ktk muziki wake, kwahiyo kwangu Fid Q ni best kuliko Joh lakini sio best kushinda Mc wote nchini.
ANGALIZO: Tuwatofautishe kwa fact na sio ushabiki
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…