BABA TUPAC
JF-Expert Member
- Sep 30, 2015
- 1,527
- 3,811
Huyu jamaa ni slow learner, ana fursa nyingi za kufanya makubwa lakini sikio la kufa.....Hivi Kiba naye ana record label kama Mondi?
Au hana hela za mtaji?
Umekariri tu!! Kwani yeye hawezi kuwa chanzo?Chanzo?
Ha haaa, umelenga penyewe, dogo Kiba fursa zimemzunguka toka enzi zilee lakini yuko very slow kwa ubongo wakeHuyu jamaa ni slow learner, ana fursa nyingi za kufanya makubwa lakini sikio la kufa.....
Sa si ndio useme yeye ndo chanzo?Umekariri tu!! Kwani yeye hawezi kuwa chanzo?
Hivi Kiba naye ana record label kama Mondi?
Au hana hela za mtaji?
Huyu jamaa ni slow learner, ana fursa nyingi za kufanya makubwa lakini sikio la kufa.....
Tulisema sana humu tukaonwa wabaya sasa wenyewe wana anaza kuona kwa Macho!Ha haaa, umelenga penyewe, dogo Kiba fursa zimemzunguka toka enzi zilee lakini yuko very slow kwa ubongo wake
Hao ndio wanaozidi kumpoteza, kinyamwezi una-earn six figure halafu useme eti miye natembelea bajaj sipendi kujionesha!!Record label yake inaitwaje? Yooooooh Classic Records?
Iko mushkeli kwa huyu dogo, waswahili wa kariakoo hawa huenda yeye ndio ameshamaliza hapo.Kusema ukweli, kwa mtazamo wangu, ikija kwenye suala la kipaji tu cha uimbaji Ali Kiba namkubali sana.
Nadhani hana mpinzani kabisa ikija kwenye hiyo idara.
Na mafanikio anayo tena naona ni mafanikio mazuri tu.
Lakini naona kama vile angeweza kuwa mbali zaidi ya hapo alipo.
Sasa mkuu utaonaje kwa makalio!? Lazima uone kwa macho.....Tulisema sana humu tukaonwa wabaya sasa wenyewe wana anaza kuona kwa Macho!
Hahahaha...aiseeSasa mkuu utaonaje kwa makalio!? Lazima uone kwa macho.....
Atafanya makosa makubwa Kama akianzisha label kipindi hiki!Hivi Kiba naye ana record label kama Mondi?
Au hana hela za mtaji?