Tetesi: Joh Makini kuingia WCB


Upo sahihi lakini tambua kitu kimoja kutoka kimataifa lazima ushikwe Mkono, Na Mkono wenyewe sasa ni diamond.....!
 
ntaamini hadi kubwa la umbeya Warumi athibitishe
 
Joh Makini hawezi kuwa mpumbavu kiasi hicho
 
Yaani Watu king kiba anawaumiza vichwa Sana bila kumtaja hawajiskii vizuri, Timu aje #king kiba 4 life
 
Kweli watu wanajua biashara,hongera platnumz kama ndio kweli
 
Joooh makin wa bongo au jooh makin gani wa weus au yupi hebu dada vua vzr
 
Iko mushkeli kwa huyu dogo, waswahili wa kariakoo hawa huenda yeye ndio ameshamaliza hapo.
Mhh! hakuna cha wa kariakoo wala wa mbagala,yee Kiba ndivyo alivyo na kama ulivyosema ubongo wake ni mzito sana wa kuziona fursa na kuzifanyia kazi ,mbona wa kigoma mwenzake ni wa Tandale na na anafanya mambo yakuonekana na kuheshimika kwenye jamii? yeye kiba na uzuzu wake tu,Wee mwanamuziki gani hutoi nyimbo mpaka wapenzi wako wapige kelele,yaani yeye mwenyewe hajui ni wakati wa kutoa ngoma sasa utasema huyo ni mwanamuziki kweli au ni mtu tu mwenye sauti nzuri na anayejua kuimba.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…