Tetesi: Joh Makini kuingia WCB

Tunawakaribisha kwa furaha tele tele ndani ya WCB
 
Watu wauza ngada msijifanye hamjui
 
Itafurahisha na sio mbaya kukuza lebo na brand ya nyumbani
 
kwann akitajwa mond n lazima mumtaje Kiba? pili ni aibu msanii mkubwa kama John Makin kujiunga na label ya wcb kea umri wake kimziki angetakiwa yy awe anawalea hao akina domo na crew yake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…