Pure_sapiens
JF-Expert Member
- Dec 25, 2016
- 2,228
- 2,064
Binafsi naona G yuko underrated sana.Kwangu ni A-list artist kuanzia flows na hata maisha yake nje ya muziki.
Joh ni kivuli cha JAY Z.
GNako ndo kila kituHivi kati ya hawa wasanii wawili wanaounda kundi la weusi nani mchafu zaidi katika kurap.