kanali mstaafu
JF-Expert Member
- May 17, 2015
- 4,318
- 4,105
joh msanii mzuri sana but kumfananisha Fid Q na msanii wa hip hop tanzania ni upuuzi sana; Fid q hakuna wa kufananaye tz kwa hip hop..jamaa ana akili kubwa sana bahat mbaya kazaliwa bongo..fid angekuwa usa angekuwa hata zaidi ya Nas skoba.Usiku naisikiliza Kiberiti ya Fid Q naona kama kapwaya kimtindo hasa kumshirikisha Saida Kalori inawezekana ni vile nilikua na expectation kubwa sana kwa ujio wake mpya,sijaelewa kwa nini aliamua kuongea pale mwishoni inaweza kua ni idea poa ila kwangu haijakaa vizuri sana natamani angenyonga verse ya 3.
Ukisikiliza verse zake mbili utagundua Fid Q ana vitu vingi sana kichwani bila kujali anavitoa wapi ila anafikirisha sana kama utamsikiliza kwa makini,Ni heri nimsikilize Fid Q alie-flop kuliko uyo Joh Makini akiwa kwenye ubora wake jamaa sijawahi hata kumuelewa hua anataka kufanya nini.
Absolutely factjoh msanii mzuri sana but kumfananisha Fid Q na msanii wa hip hop tanzania ni upuuzi sana; Fid q hakuna wa kufananaye tz kwa hip hop..jamaa ana akili kubwa sana bahat mbaya kazaliwa bongo..fid angekuwa usa angekuwa hata zaidi ya Nas skoba.
Joh hitsong yake ya mwisho ni don't bother baada ya hapo sijui anaimba utumbo gani..Usiku naisikiliza Kiberiti ya Fid Q naona kama kapwaya kimtindo hasa kumshirikisha Saida Kalori inawezekana ni vile nilikua na expectation kubwa sana kwa ujio wake mpya,sijaelewa kwa nini aliamua kuongea pale mwishoni inaweza kua ni idea poa ila kwangu haijakaa vizuri sana natamani angenyonga verse ya 3.
Ukisikiliza verse zake mbili utagundua Fid Q ana vitu vingi sana kichwani bila kujali anavitoa wapi ila anafikirisha sana kama utamsikiliza kwa makini,Ni heri nimsikilize Fid Q alie-flop kuliko uyo Joh Makini akiwa kwenye ubora wake jamaa sijawahi hata kumuelewa hua anataka kufanya nini.
Kufanya kwako moja hakumzuii mwenzako kufanya yake...Baada ya joh kusikia Fid q anaachia album yake ya kitaaolojia kesho Joh ameamua kuachia ngoma yake mpya inaitwa simwachii mungu halaf atatoa ngoma kila jtatu mpka tarehe 27.
haupo sahihi, labda hujui maana ya hit songJoh hitsong yake ya mwisho ni don't bother baada ya hapo sijui anaimba utumbo gani..
Wakati fid q hata ukisikiliza interview yake tu mistali anayoongea ni nyundoooo
Unakosea kuwalinganisha hawa wawili.. Hawajawahi hata Siku moja kukaribiana.. Fid yupo mbali sana...Usiku naisikiliza Kiberiti ya Fid Q naona kama kapwaya kimtindo hasa kumshirikisha Saida Kalori inawezekana ni vile nilikua na expectation kubwa sana kwa ujio wake mpya,sijaelewa kwa nini aliamua kuongea pale mwishoni inaweza kua ni idea poa ila kwangu haijakaa vizuri sana natamani angenyonga verse ya 3.
Ukisikiliza verse zake mbili utagundua Fid Q ana vitu vingi sana kichwani bila kujali anavitoa wapi ila anafikirisha sana kama utamsikiliza kwa makini,Ni heri nimsikilize Fid Q alie-flop kuliko uyo Joh Makini akiwa kwenye ubora wake jamaa sijawahi hata kumuelewa hua anataka kufanya nini.
Basi poaUnakosea kuwalinganisha hawa wawili.. Hawajawahi hata Siku moja kukaribiana.. Fid yupo mbali sana...
Ni kweli kabisa jamaa ana vitu Vingi sanakichwani ni vile tu anaviheshimu na havitoi kizembe..
Kuhusu kumshirikisha saida nimependa sana..
Amejaribu kuchukua ladha ya tofauti.. Pia content ya wimbo inamuhusu sana saida.. Nafikiri aliwaza hivyo pia..
Kuhusu kuongea pale mwisho, mwanzoni sikumwelewa sema kadri navyozidi kuisikiliza nazidi kumwelewa.. Tunarudi pale pale alitaka kutupa ladha tofauti.. Kuna watu wanapenda sana kusikiliza speech kuliko ghani.. Hapa amejaribu kumpa kula MTU taste yake...
Jamaa anachana vitu vya kutumia akili sana halafu anachana harakaharaka.. Ukifikiria mstar mmoja mpaka uuelewe yeye tayari ameshafika wa kumi.. Ndo mana nyimbo zake hazichoshi kwa sababu kula siku unang'amua jipya
joh msanii mzuri sana but kumfananisha Fid Q na msanii wa hip hop tanzania ni upuuzi sana; Fid q hakuna wa kufananaye tz kwa hip hop..jamaa ana akili kubwa sana bahat mbaya kazaliwa bongo..fid angekuwa usa angekuwa hata zaidi ya Nas skoba.
hahahahaNdio kiki inayotafutwa hiyo ulivyo mbumbumbu umevaa mkenge
Msipende kudharau nyumbani sasa huko nje kuna ninijoh msanii mzuri sana but kumfananisha Fid Q na msanii wa hip hop tanzania ni upuuzi sana; Fid q hakuna wa kufananaye tz kwa hip hop..jamaa ana akili kubwa sana bahat mbaya kazaliwa bongo..fid angekuwa usa angekuwa hata zaidi ya Nas skoba.
Fid anacopy kwenye vitabu gani? Mfano ni wimbo gani katika mstari gani?Ngoma za joh ni nondo kutoka kichwani sio za kucopy na kupest kwenye vitabu kama fid q.
Mziki anaofanya joh tofauti kabisa na fid.. Joh anaweza akafanya mziki wa fid ila mziki wa joh fid miaka yote atasubiri
Pia sio sahihi kuwafananisha hawa watu wawili wako tofauti kwenye flow... Ni mtazamo tu msijenge chuki
ni kweli mkuu, kwa sasa yale makali ya Fareed yamepungua kwa kiasi fulani.... labda ni kutokana na umri na pia the way anajaribu kuandika katika lugha rahisi ili kuifikia hadhira kubwa zaidi hasa wale ambao hawawezi kufikiri beyond ya kile wanachokisikia. Pamoja na hayo, ni afadhali kumsikiliza Fareed aliyechoka kuliko Makini anayewikaUsiku naisikiliza Kiberiti ya Fid Q naona kama kapwaya kimtindo hasa kumshirikisha Saida Kalori inawezekana ni vile nilikua na expectation kubwa sana kwa ujio wake mpya,sijaelewa kwa nini aliamua kuongea pale mwishoni inaweza kua ni idea poa ila kwangu haijakaa vizuri sana natamani angenyonga verse ya 3.
Ukisikiliza verse zake mbili utagundua Fid Q ana vitu vingi sana kichwani bila kujali anavitoa wapi ila anafikirisha sana kama utamsikiliza kwa makini,Ni heri nimsikilize Fid Q alie-flop kuliko uyo Joh Makini akiwa kwenye ubora wake jamaa sijawahi hata kumuelewa hua anataka kufanya nini.
Chochote popote kwa upande wangu mimi ndiyo ngoma kali ya muda wote kutoka kwa Joh Makini. Ule ni msosi uliopikwa kwa ustadi wa hali ya juu huku ukikolezwa viungo kadha wa kadha na kuufanya uwe na ladha adhimu isiyochosha kinywani. Joh wa nataka kucum, sio Joh yuleBaada ya Ngwea kuondoka amebaki Fid q.
Joh tatizo alishatoka huku tunapopafikiria.. Anachanganya lotion na ndizi kwa mbaali anapata taarab.
Joh alikuwa yule wa CHOCHOTE POPOTE