Joh Makini unatia aibu

Old Member (Retired)

JF-Expert Member
Joined
Sep 29, 2012
Posts
3,401
Reaction score
1,610
Joh Makini amepanga Changanyikeni, nyuma ya UDSM. Jamaa ananisikitisha sana kwa mtu kama yeye kupanga chumba kimoja tu.

Hapo hapo chumbani anapikia kaweka ndoo za maji na vyombo vyake. Ifike mahala apange walau vyumba viwili.

Joh Makini anaendesha Starlet baada ya kuuza ile Mazda, basi ni bora auze hiyo starlet kwa milioni tano au sita akatafute kiwanja chake hata chamazi au chanika aanze kujenga nyumba yake taratibu.

Kweli hip hop hailipi, yani miaka yote aliyofanya music bado anaishi chumba kimoja???

Dr. MCHUNGUZI HURU (PhD)
 
Last edited by a moderator:
ivi hajaoa tu mpk sasa...??kama bado anatabia za kibinafs
 
Too low for u, Labda tu utueleze ulifikaje ghetto kwake hadi uyajuwe yote hayo? wewe ni demu wake?
 
Last edited by a moderator:

That is his own.life who are you to judge??? Hata apange kibanda cha makuti n.uwezo wake huo utalazimisha vipi faras apite kwenye tundu ya sindano mxxiiiiiew!!!!! Uchunguzi feki phd ya jiwe?
 
Last edited by a moderator:
Wakuu mnamshambulia mleta mada lkn yeye Alichofanya niile kuonyesha MSANII KIOO cha JAMII manake kuna madogo labda wanamkubali nalabda watatakaa kuiga kz yake sasa.km kz yenyewe km hailipi na mtu analala store wataipendaje hiyo fani...
 
Too low for u, Labda tu utueleze ulifikaje ghetto kwake hadi uyajuwe yote hayo? wewe ni demu wake?

Ahhhhha Matola big up inawezekana n dem wake ila sasa s wangeongea chumbani jamaa sjui research zake hua anaziota tu
 
Last edited by a moderator:
Wakuu mnamshambulia mleta mada lkn yeye Alichofanya niile kuonyesha MSANII KIOO cha JAMII manake kuna madogo labda wanamkubali nalabda watatakaa kuiga kz yake sasa.km kz yenyewe km hailipi na mtu analala store wataipendaje hiyo fani...

Wanaopenda kuiga wakaige utajiri wa Mengi Bakhresa na Mo Dewji, tuondolee upumbavu wako hapa.
 
Acha uongo,,, joh makini amepanga nyumba nzima na wanaishi jirani na peter msechu na ni majirani zangu. Usiongee ulichosikilizishwa.
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…