Johari amtupia vijembe Chuchu Hans msibani

warumi

R I P
Joined
May 6, 2013
Posts
16,218
Reaction score
18,440
Staa wa Bongowood, Blandina Chagula ‘Johari' anadaiwa kumtupia vijembe kiaina msanii mwenzake , Chuchu Hans ambaye ‘anabanjuka kimalovee ' na mkurugenzi mwenza wa Kampuni ya RJ, Vincent Kigosi ' Ray TheGreatest'.

Tukio hilo lilichukua nafasi kwenye msiba wa mwigizaji Sheila Haule ' Recho ' Sinza -Palestina , Dar , hivi karibuni ambapo vijembe viliibuka baada Mwenyekiti wa Bongo Movie Unity, Steven Mengere ' Nyerere ' kumuuliza kwa lugha ya utani Chuchu kuwa RJ itachangia nini msibani hapo.

Johari akadakia: "Kampuni yangu si ya uchochoroni au ya chumbani , ninaTIN namba kabisa siyo kama hiyo nyingine ,iweje umuulize asiyehusika." Baada ya Johari kutamka maneno hayo ,waombolezaji waliokuwepo msibani hapowalipigwa na butwaa na kuhoji kulikoni?

Johariamekuwa akidaiwa kuwa na uhusiano na Ray kipindi cha nyuma huku kukiwa na taarifa kuwa Chuchu ana kampuni iitwayo Chura ikimaanish aChuchu na Ray hivyo ilitafsiriwa kuwa alikuwa akiipiga kijembe kwamadai kuwa haiwezi kufikia levo za RJ.

Alipofuatwa na mwanahabari wetu ili kupata ufafanuzi juu ya ishu hiyo , Johari hakuwatayari kwani alisema ana majonzi yakuondokewa na kipenzi chake Recho hivyo hakutaka malumbano na watu katika kipindi hiki kigumu .
 
Huyo Steve nyerere anaonekana anapenda chokochoko
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…