Johari: Bado nipo RJ Company na sio Ray


Quality ya Sinema au picha???? wanatumia Panavision au Red 5K???? ukiniambia sinema zao nzuri nakataa.

1. Sinema ina dialogue 75% actions 25%
2. talents wakulazimisha, character na talent tofauti
3. Script hazitofautiani na pamphlet.
4. Theme zile zile
5. poor lighting techniques (flood lighting sinema nzima)
6. hakuna wardrobe department
7. Directors wanapwaya, huyo Ray mwenyewe Tabularasa tu, zaidi ya action au cut hakuna kingine wanachofanya. Tazama sinema zao utafikiri talents wanajiongoza wenyewe.
8. Improvisation inawaangusha. punguzeni improvisation
Katika uzalishaji wa sinema vitu vitatu muhimu
1. Lighting
2. Wardrobe
3. professional director kuwaongoza talents ku-deliver actual theatrical performance
 

mi nkshaona habar imeandkwa na ww cjcumbuagi kusoma yani upo kama gazeti la udaku kimsingi we ni loko
 
Mkuu uko deep sana, nilishafanyakazi ya kutumwa na kampuni moja nje ya nchi, yani nilivyokuja Bongo nikaona ni mauzauza tu, tena sisi ilikuwa ni commercial advertisemt for tv nikiwa kwenye moja ya department uliyoitaja hapo juu kiukweli sisi bado sana.

Wakati mimi nikiwa nashangaa film industry yetu miaka 10 baadaye ndio ile kampuni niliyokuwa nayo ndio imeanza kufanya kazi za kutengeneza movie.

unaweza ukapima mwenyewe after 10 years net ndio kampuni imejiridhisha sasa wapo kamili na wana kazi nyingi sana nchini Australia.

Bahati mbaya mimi si mpenzi wa bongo movie ila ikitokea by coincidence kwenye tv station nakutana na hizo movie huwa sioni tofauti yao na dvd za harusi, kuna siku niliwahi kumtania kijana mmoja nikamuuliza hivi huwa mnashoot kwa kutumia simu au ni vifaa gani huwa mnatumia?

Sijasomea hii kazi ila ningekuwa na interest ya kuleta bongo ile experience yangu huenda ningechangia mageuxi fulani, lakini bado kuna changamoto ya cost kwahiyo tuwahurumie.

Sisi ilikuwa kama ni tangazo tunafanyia nyumbani kwa mtu anakuja mtaalam maalum wa decoration na nyumba yote inapakwa rangi inayopendekezwa na baada ya kumaliza kazi mwenye nyumba ni chaguo lake ibaki rangi ileile au tumrudishie rangi iliyokuwepo awali, na wazungu wengine kwa jeuri anataka mrudishe ile rangi yake ya awali.

Sasa hawa kina Ray sijui kama huwa hata kukodi masofa huwa wanakumbuka kubadili mandhari?
 
mi nkshaona habar imeandkwa na ww cjcumbuagi kusoma yani upo kama gazeti la udaku kimsingi we ni loko

Poa mkuu ila kumbuka sikukuita humu, wewe unaniona loko ila kuna watu wananifuatilia na u loko wangu na ndio maana hadi Leo nipo humu, so u can take ur way if u don't mind my brother
 

Nime pita pita shule ya Theater na nimefanya kazi na some Hollywood guys akiwemo Barry Braverman.

Huwezi amini nimeomba ku-volunteer kwa hawa wenye kampuni zao Bongo tuweze ku-share kidogo nilichonacho, weeeee hizo kalenda usipime. Waoga wa kujifunza vitu vipya.
 
I see, umenikumbusha mbali sana bro, one of the crew ambao tulikuwa wote ni mbongo mwenzetu kuna movie wanaikamilisha Australia atatinga any time Bongo na ana idea nyingi sana kuliko mimi maana ni miaka 10 sasa mimi tangu nimebadili life style I wish nitakuconnect mnaweza mkafanya kitu.

I will keep ur Id for communications at the right time.)
 
Poa mkuu ila kumbuka sikukuita humu, wewe unaniona loko ila kuna watu wananifuatilia na u loko wangu na ndio maana hadi Leo nipo humu, so u can take ur way if u don't mind my brother
Mkuu wewe shusha habari tu usikonde mtu akitaka kuwa serious aende jukwaa la Great thinker au katiba mpya, hapa tunadigest ubongo hapahitaji karaha.
 

Shukrani mkuu
 
Matola umeongea fact.Sometimes tunawaonea huruma bajeti zao lakini wanakera wanaposhindwa hata kuunganisha matukio kutengeneza reality walau kwa asilimia flani hivi.
Tatizo Bongo Movie wamejaa wajuaji hawataki challenge zaidi kupenda sifa.
 
Last edited by a moderator:
Shukrani mkuu

Sisi wasanii wa Tanzania ni wajinga sana na wavivu kufikir , to faut na wenzetu wa Kenya na baadh ya nchi jiran , wenzetu wako bright And intelligent, pia elimu yao nzuri na inawapa mwanya wa kujiamin na kufanya vizur zaidi especially kwenye filamu. Ukijaribu kuangalia hata tamthilia zao majority wana self confidence hata ukiwaangalia kwenye TV unaamnin wanachokifanya na unasahau kama wanaigiza kabisa unajua ni real life, kama ilivyo nchi zilizoendelea. Tasnia ya filamu itabadilika kama ikivamiwa na wasomi wanaojielewa na wenye mapenzi ya Sanaa , Wasomi wanahitajika bongo movie, pengine hata bunge lita thamini mchango wa filamu baada ya kuona watu wanaojielewa. Nafas ipo hatujachelewa kufanya mapinduzi nchini
 

Muache awe nae sisi inatuhusu nini?
 
Matola umeongea fact.Sometimes tunawaonea huruma bajeti zao lakini wanakera wanaposhindwa hata kuunganisha matukio kutengeneza reality walau kwa asilimia flani hivi.
Tatizo Bongo Movie wamejaa wajuaji hawataki challenge zaidi kupenda sifa.

Mkuu mimi nilipoamuwa kuja kuinvest Bongo kwenye mambo yangu binafsi nilikuwa na nia ya kutoa mchango wangu lakini cha kwanza kabisa mimi na maisha yao ni vitu viwili tofauti kabisa hiyo sababu kuu ya kuabandon experience yote niliyonayo na kujikita kwenye kazi binafsi.

Hata nyumbani kwangu wameshakuja underground mara nyingi kufanya shooting zao huwa natingisha kichwa tu na kuwaacha waendelee na kazi zao maana sina namna ya kuwaambia waelewe chochote maana ni sawa na kuzimu na peponi.

Kama tv station za bongo tu hazijui kubadili muonekano wa newz room zao au hizi tv talk show hazijui kwamba kuna taaluma za watu zinahitajika kuwaandalia mandhari tofauti ndio sembuse hawa bongo movie?

Nchi hii sijui imelogwa na nani kwa kweli.
 
Last edited by a moderator:
Daah we nimekukubali sana n you know what cinema is,umesema kitu cha Kweli sana hongera sn for a good elaboration of what a good cinema should be like.
 

Nakubaliana na Mwanapolo. Sinema nyingi za Bongo esp hawa Wanaojiita Bongo movies hazina dialogue kwani sehemu kubwa ni instrumental music tena ni huo huo unajirudia mwanzo mwisho. Sinema inatakiwa characters waongee na siyo kumwacha mtazamaji atafsiri matendo ya muigizaji. Hii inatokea sana esp kwenye love/romantic scene.
 
Matola umeongea fact.Sometimes tunawaonea huruma bajeti zao lakini wanakera wanaposhindwa hata kuunganisha matukio kutengeneza reality walau kwa asilimia flani hivi.
Tatizo Bongo Movie wamejaa wajuaji hawataki challenge zaidi kupenda sifa.

Kuna sinema imetengenezwa na na wanafunzi wa Department of Fine and Performing Arts & SJMC, UDSM inaitwa CRUSH (husudu) sidhani hata Kama imetumia laki tano katika utengenezwaji.

Filamu hii ilishinda tuzo ya ZIFF mwaka Jana, wakati hizo za akina JB na Ray zikitoka patupu.

Filamu hii mbali na kuwa na changamoto ya vifaa, huwezi amini Kama imetengenezwa na watamzania ukilinganisha na Bongo movies.

Talents wameigiza vzuri, cinematographer amepiga picha nzuri, sauti na muziki vimepangwa vizuri.

Unajua kwa nini?

Waigizaji wanafahamu theater, muongozaji Mr. Issa Mbura ameongoza vizuri. Details zote za film zinaonekana.

unaweza kua na bajet ndogo, ila performance nzuri, na sinema ikawa nzuri vilevile. Kufuata kanuni ya kutengeneza sinema kuanzia pre-production, production na post production kunasaidia sinema kueleweka hata Kama mnajitolea bure kufanya hiyo project.
 
Last edited by a moderator:
Tatizo hata seven up anavamia kazi za watu hawajui watu wanakaa. Darasani miaka mtu akipata kicamera chake kimoja na kitaa tayari kawa producer lol
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…