Johari, Nora wapatana, wapanga kurudi kwa kasi

Yaani mastaa wa kibongo wanachekesha, ilitokea kwa Wema na penny waligombana kisa domo na domo alivoenda kwa bibi wakapatana and no johari na Nora baada ya ray kwenda kwa chuchu
 
Poa Nora arudi ila aache kutuonesh chupi zake hadharani tena, mi namkubali
 
Tupo busy na 24 legacy,designated servivor,homeland,taken,into the badlands,na sasa prison break,,waje tu lakin kuniamisha ni ngumu sana
hahaha naukizoea haya makitu kurudi huko kwa kina nora nisawa na mtoto kuzaliwa kisha kurudi tumboni
 
Wamekunywa maji kinoma.

Ila hawana ishu kwa sasa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…