Evelyn Salt
JF-Expert Member
- Jan 5, 2012
- 70,916
- 141,437
Tangu afiwe na mumewe yule Mganga nadhani yupo tuHivi huyo Nora kaolewa?
Mbado!Hivi huyo Nora kaolewa?
Aliolewa tena ila ndoa ilimshinda baada ya mume kumzuia kuigiza, akaomba talaka karudi kuwa single tena.Tangu afiwe na mumewe yule Mganga nadhani yupo tu
Nichokumbuka ni sikitiko langu filamu hiyo nikiiona hata sasa nainunua.kiukweli zamani walikuwa wanajua kuigiza sio sasa hivi wamebaki kugalagazana kitandani mda mwingi mpaka tunashindwa kuangalia na familia
Mkuu vp ulifanikiwa Kuala rum hoteli za ubungo? Jimama lilikuachia mlango taka?Bifu za kibongo ndo zile zile mapenzi na kuzibiana rizki ndo sana.... tujifunze kwa wenzetu licha ya kuwa na bifu lakini bado wanashindana ku make mkwanja bila kuwekeana figisufigisu zisizo na maana
Mkuu utakuwa umenifananisha lini nilisema nataka kulala rum hotelMkuu vp ulifanikiwa Kuala rum hoteli za ubungo? Jimama lilikuachia mlango taka?