Wakuu habarini,,,,, ivi kunamtu amebahatika kuiona page ya Instagram ya uyu kijana aitwae johkepha_starboy
Ni nimeshangaa katika page yake mambo anayo ya post ,,,, nimeahangaa kajitoa ufahamu kumsema kiongizi wa nchi kiasi kile nahisi atatafutwa ,,, kama ujabahatika kumuona mcheki Instagram