Pastor Achachanda
JF-Expert Member
- May 4, 2012
- 3,023
- 1,315
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Uwe na amani mkuu. Kuna dada anaitwa Rozi alikuwa akiwasiliana na mpenzi wake sasa sisi tukaiokota barua ndio tukasema sikukuu hii tutayashuhudia mengiNaona safari hii huyu John mkubwa mmeamua kumvua nguo hadharani. Maana imekua faru John, mara ndege john, na tena mmrkuja n barua ya Rozi kwenda kwa John......
Mara John sijui naninani, ebu ngoja niishie hapa. Maana humu ndani si salam tena
Duuuuuuh inawezekana lakini "huku kwetu" hatuna uhakika kama dada Rozi alihitimu darasa la saba ama laha ha! kipindi rozi anasoma kulikuwa na mgomo wa walimu wa miandiko..?
Kweli mjombaHuyu hawezi kuwa John Faru... yule ni marehemu tayari na huenda hata mifupa ilishaliwa na fisi... hapa John ni mmojawapo wa waliobakia hai, anatumbuliwa kwa ubahili!!...... Rozi mbayaa!... hatakagi ujingaujinga!...
Hawara yake dada RoziJohn gan tena huyo
Hahahahaaaa...mm nikadhani Faru John
eatng suger!!!!!John john, yes papaa!