Anzisha thread ya mchezaji mwenye mataji mengi...hi ni thread ya mchezaji mwenye magoli mengi tangu ligi kuu ya Tanzania bara ianzishwe
Anzisha thread ya mchezaji mwenye mataji mengi...hi ni thread ya mchezaji mwenye magoli mengi tangu ligi kuu ya Tanzania bara ianzishwe
Hahaa kama zile za utoto
Hivi alimpiga ngumi ya kisogo mwenzie ehhh?
So unproffesional.[emoji23][emoji23]
Mkuu nashukuru kwa kunielewa. Naamini umefikiria Nje ya Box!
Magoli 9 kwa kila Msimu....[emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23]Hahaa kama zile za utoto
Kwan ameyafunga akiwa mbumbumbu fc?. Pale mbumbumbu hana lolote Bocco alikuwa mwana soka enzi yupo Azam fc Siku hizi amekuwa Mwakiminyo mzee wa masumbwiAtazidi kuongeza magoli sababu tangu ligi ya Tanzania ianzishwe hakuna panya yoyote anayemsogelea kwa idadi kubwa ya magoli aliyofunga
Hapana mkuu,ameyafunga akiwa yanga..na mwaka Jana kachukua uchezaji bora vpl akitumikia club yake ya yangaKwan ameyafunga akiwa mbumbumbu fc?. Pale mbumbumbu hana lolote Bocco alikuwa mwana soka enzi yupo Azam fc Siku hizi amekuwa Mwakiminyo mzee wa masumbwi
Sipo hapa kubishana nipo hapa kumsifia John Raphael Bocco the top score wa ligi kuu Tanzania bara tangu ianzishwe...yaani tokea ligi ianzishwe hajawahi tokea panya yoyote wa kijani akatupia goli 100 hahaaaaahNilidhani utabisha.....[emoji38][emoji38][emoji38]
Uchezaji bora au ufungaji bora? Weee ni bata kweli tunazungumzia ufungaji okayHapana mkuu,ameyafunga akiwa yanga..na mwaka Jana kachukua uchezaji bora vpl akitumikia club yake ya yanga
Ukiangalia kwa makini kwenye hii thread utagundua wanao lialia hao ndo sindano zimewaingia haswaaaKaa vizuri wewe sindano ya dawa iingie.....[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Tunazungumzia mafanikio ya John Raphael Bocco the top score tangu ligi kuu Tanzania bara ianzishwe hahaaaah na pia ni mchezaji bora vpl 2017/2018..hahaaaah yaani mipovu yote lazima iwatokeUchezaji bora au ufungaji bora? Weee ni bata kweli tunazungumzia ufungaji okay
Wewe ni mngese tuHahaaah mkuu unatusi jipya lolote....hayo unayotukana nayafahamu tafuta mapya afu utukane vizuri
Ushamaliza kutukana...tukana matusi yote mkuu unganisha...Ila usirudie matusi ambayo tumeyazoeaWewe ni mngese tu
Ushamaliza kutukana...tukana matusi yote mkuu unganisha...Ila usirudie matusi ambayo tumeyazoeaWewe ni mngese tu
Top score all the time ligi kuu Tanzania bara....mchezaji bora vpl last season...hana madhara????hahahaaaaaahMIMI NAOMBA ARUHUSIWE TU KUCHEZA MAANA WALA HANA MADHARA YEYOTE KWA YANGA NA ILI WATU WASIJE PATA SABABU YA KUJAKUSINGIZIA MAANA KELELE TUU BOKO BOKO UTADHANI AKICHEZA KUNA KIPYA ATAFANYA...!!!