John Bocco apewa unahodha kwa Wachezaji wa ndani, kuongoza timu kufuzu CHAN

John Bocco apewa unahodha kwa Wachezaji wa ndani, kuongoza timu kufuzu CHAN

Influenza

JF-Expert Member
Joined
Jul 1, 2018
Posts
1,509
Reaction score
3,756
Kaimu Kocha Mkuu wa Taifa Stars, Ndayiragije Etienne amemteua John Bocco kuwa nahodha wa timu ya Taifa kwa wachezaji wa Ndani, akisaidiwa na Juma Kaseja, Kelvin Yondan na Erasto Nyoni.

Timu hiyo inajiandaa na mchezo wa CHAN dhidi ya Kenya Jumapili Julai 28, Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam
 
Young man is a leader

Bocco anatakiwa awe Rais wa Tff miaka ijayo ananidhamu sana ya uongozi
 
Mzee Hamis Kilomoni ametisha sana
 
Simba imara taifa stars imara na kinyume chake~by mwalimu Nyerere (unknown year)
 
Back
Top Bottom