Kaimu Kocha Mkuu wa Taifa Stars, Ndayiragije Etienne amemteua John Bocco kuwa nahodha wa timu ya Taifa kwa wachezaji wa Ndani, akisaidiwa na Juma Kaseja, Kelvin Yondan na Erasto Nyoni.
Timu hiyo inajiandaa na mchezo wa CHAN dhidi ya Kenya Jumapili Julai 28, Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam