Jamani me naanza kuamini msemo wa Ajibu kuwa Bocco mchawi. Why Bocco anapewa nafasi na Phiri anakaa nje? Hivi kweli Phiri wa kukaa benchi na Bocco kuanza?
Pili, kwanini mpaka leo Simba inasajili wachezaj ambao wakija hawachezi badala yake tunaona watu waliochoka wanapewa nafasi akina Mkude na Bocco? Maana yake usajili unaocfanyika ni wa kijinga au Bocco anawachawia wenzake? Simba hili waliangalie sana.
Haiwezekana Mkude kacheza na Matola bado yupo na anapata namba, Bocco kaipandisha Azam ila bado anacheza mpaka leo