John Bocco ni galasha, Simba SC mmeingizwa mkenge

py thon

JF-Expert Member
Joined
Sep 11, 2016
Posts
2,476
Reaction score
4,448
Mechi ya Leo ya Rwanda vs Stars ndio inadhihirisha kwanini huyu striker alikuwa haitwi timu ya taifa
 
Rwanda wanapiga mipira ya juu. Stars wanashindwa kutuliza mpira chini ili viungo wacheze na kutengeneza matokeo. Ovyo kweli!
 
Mechi ya Leo ya Rwanda vs Stars ndio inadhihirisha kwanini huyu striker alikuwa haitwi timu ya taifa
Huo ndiyo ukweli mkuu, japo kwa wanazi wa Msimbazi hawataki kuhusikia, ila tuache tu na muda utaongea.
 
Bocco ameshachoka, huo ndio ukweli, hastahili kuwa mshambuliaji wa kupangwa timu ya taifa , acheni ushabiki usio na tija... Bora hata Maguli alionyesha kauwezo cosafa ila sio Bocco, amechoka long time ago, ni mshambuliaji wa kucheza ligi tu sio national team.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…